IMBA NA MWANASPOTI: Wimbo wa ‘Nadekezwa’ mistari imeshiba!
Wimbo: Nadekezwa
Msanii: Mbosso
Hho hho hho hho.. Oohh
Hho hho hho hho
Salamu ulizo nitumia ahh
Nimezipokea ahh
Nipo salama hata usijali.
Nalishwa vitamu
Vinono najilia ahh
Biriani ya ngamia ahh
Penzi wakalidana po kidali
Nimekusahau, nakumbuka tu lako Nina aah
Kidogo angalau,ungeng’oa mizizi sio kukata shina
Penzi wakapanda dau
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau visenti haba mfuko umechina
Na ndio uwezo wangu ulipoishia-ningekupa nini tena
Kula yangu ya kupapasia-hukumeza ukatema
Mi sina gariiii-ningekupa nini tena
Oohhhhh-hukumeza ukatema (heeeeee…hee)
Nadeke nadekezwa X8
Ndani ya mashamsham mtoto ‘kanikabili (oooh)
…….. Kumi na mbili alfajiri
Na nisha mvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi,
Kan’jaza kan’chota kan’shika pabaya!
Nakutaadharisha,
Simu za usiku punguza,
Unahatarisha penzi langu
Moto punguza
Nishakusahau,
Nakumbuka tu lako Nina
Kodogo angalau
Ungeng’oa mizizi sio kukata shina
Penzi wakapanda day,
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti baba mfuko umechina
Na ndio uwezo wangu uliposishia-ningekupa nini tena
Kula yangu ya kipapasia-hukumeza ukatema
Mi sina gariiii- ningekupa nini tena
Oooh-hukumeza ukatema (yeeeeeeh)
Nadeke nadekezwax 8