PRIME Nyuma ya pazia Diamond kushuka shoo za kimataifa Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Diamond Platnumz anaonekana kuzidi kupunguza shoo za kimataifa kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele licha ya kila mara kutangaza thamani yake kupanda...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Mastaa Yanga wawaachia msala Azizi KI, Musonda ACHANA na matokeo yaliyopatikana kati ya Yanga na JKT Tanzania unaambiwa wachezaji zaidi ya watatu ndani ya kikosi cha Yanga wamemtupia zigo kiungo Stephane Aziz Ki na Keneddy Musonda kumaliza...