Shoo ya kibabe Ligi Kuu Tanzania Bara

Muktasari:

Pia, wachezaji wal-iojifunga, hat trick na timu ambazo zime-achana na makocha wao kwa sababu mbalimbali ikiwemo matokeo mabovu.

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa kwenye mapumziko ma-fupi huku baadhi ya timu zikiwa zimecheza michezo 11 na Yanga ikiwa imeshuka dimbani mara tano pekee, Simba ndio kinara wa kufumania nyavu za wapinzani wake baada ya kufunga mabao 16. Pia, ndio timu pekee mpaka sasa ambayo inaonekana kuwa na ukuta mgumu kwani, im-eruhusu mabao matatu tu.

Singida United imeoneka-na kuwa na safu butu ya ush-am-buliaji kutokana na kuwa na mabao matatu katika michezo 10 walizocheza huku Mbeya City ikiwa imeruhusu mabao mengi kuliko timu yoyote (16).

Mwanaspoti kama kawa-ida yake inakuletea karibu wafungaji wa timu zote 20 ambao, wameshafunga mpaka sasa. Pia, wachezaji wal-iojifunga, hat trick na timu ambazo zime-achana na makocha wao kwa sababu mbalimbali ikiwemo matokeo mabovu.

WAFUNGAJI

1. Simba

Meddie Kagere - 8

Miraji Athuman - 4

Tshabalala - 1

Clatous Chama - 1

Sharif Shiboub - 1

Deo Kanda - 1

2. Kagera Sugar

Yusufu Mhilu 4

Awesu Awesu 3

Frank Ikobela 2

Evarigestus Mujwahuki1

Nassoro Kapama 1

Erick Kyaruzi 1

Geofrey Mwashiuya 1

Peter Mwalyanzi 1

3. Tanzania Prisons

Samson Mbangula 3

Ismail Aziz 2

Mohammed Mkopi 2

Benjamin Asukile 1

Jeremiah Kisubi 1

Jumanne Elfadhil Nimkaza1

Adilly Bahu 1

4. Namungo FC

Lucas Kikoti 3

Relient Lusajo 1

Mo Ibrahim 1

Hashimu Manyanya1

Bigirimana Blaise 1

Nzagamasoba Styve 1

Kelvin John 1

5. Lipuli FC

Paul Nonga 6

Daruesh Saliboko 6

Isa Rashid 2

Paul Materazi 1

Seif Rashid Karihe 1

Paul Materaz 1

David Kameta 1

Kenneth Masumbuko 1

6. JKT Tanzania

Edward Songo 2

Adam Adam 2

Mohamed Rashid 1

Hassan Materema 1

Najim Magulu 1

Danny Lyanga 1

7. Mtibwa Sugar

Dickson Daudi 3

Abdulhalim Humud 2

Jaffary Kibaya 2

Ismail Mhesa 1

Riphat Khamis 1

Isa Kajia Kigingi1

8. Ruvu Shooting

Sadat Mohamed 3

Abbas Dilunga 1

Samwer Vicent 1

Fully Maganga 1

Moses Shaaban 1

Santos Mazengo 1

9. Alliance FC

Jerry Tegete 2

Martine Kiggi1

Israel Patrick 1

Emmanul Manyenye 1

Geofrey Luseke 1

10.Mbao FC

Waziri Junior 3

Emmanuel Lukinda Charles 2

Frank Pascal 1

Cholo Mkama 1

Jordan John 1

11.Polisi Tanzania

Ditram Nchimbi 3

Marcel Kaheza 1

Erick Msagati ‘Okarai’1

Baraka Majogoro 1

12. Coastal Union

Shaban Idd Hamis 3

Ayoub Lyanga1

Menzi Chili 1

Bakari Mwamnyeto 1

Andrew Simchimba 1

13.Mwadui FC

Gerald Mathias Mdamu 4

Hassan Kapalata 2

Venance Ludovick 1

14.Yanga

David Molinga 2

Mrisho Ngassa 1

Abdulaziz Makame 1

Sydney Urikhob 1

15.Azam FC

Dolnald Ngoma 2

Daniel Amoah 1

Frank Domayo 1

Patrick Sibomana 1

Nico Wadada

16.KMC FC

Serge Alain 2

Iddi Nado 2

Hassan Kabunda1

Ally Ramadhan 1

Kenny Ally 1

Ramadhani Chombo ‘Redondo’ 1

17.Biashara United

Innocent Edwin 3

Ally Kombo 1

Juma Mpakala 1

18.Mbeya City

Peter Mapunda 4

Agustino Mapunda 1

George Chota1

Ibrahim Mwakamele 1

Mohamed Mussa 1

19.Ndanda FC

Omary Issa 1

Hussein Javu 1

Salum Chubi 1

Kigi Makasi 1

Kassim Mdoe 1

Abdul Seleman 1

20.Singida United

Laurent Frasi 1

Stephen Opuku1

Ramadhan Hashim 1

MABAO YA MATUTA

Meddie Kagere (Simba)

Kagera Sugar 0-3 Simba

Simba 4-0 Mbeya City

David Kameta (Lipuli FC)

Lipuli FC 2-2 Tanzania Prisons

Peter Mapunda (Mbeya City)

Mbao FC 1-2 Mbeya City

Serge Alain (KMC)

KMC 2-1 Biashara

Awesu Awesu (Kagera Sugar)

KMC 1-2 Kagera Sugar

HAT TRICK

Ditram Nchimbi (Polisi Tanzania)

dakika ya 34, 55 na 58

Yanga 3-3 Polisi Tanzania

Uwanja wa Uhuru

Daruesh Saliboko (Lipuli FC)

dakika ya 43, 72 na 87

Lipuli FC 5-1 Singida United

Uwanja wa Samora

Waliojifunga

Ibrahim Said, dk 90 (Alliance FC)

Mbao FC 1-1 Alliance FC

George Chota, dk 37 (Ruvu Shooting)

Mbeya City 1-1 Ruvu Shooting

Yassin Salum, dk 5 (Polisi Tanzania)

Ruvu Shooting 1-0 Polisi Tanzania

Dickson Daudi (Coastal Union)

Mtibwa Sugar 2-1 Coastal

Erick Mrilo, dk 59 (Alliance FC)

Polis Tanzani 1-0 Alliance

MAKOCHA WALIOSEPA

Athuman Bilal ‘Bilo’ (Alliance FC,)

Amri Said ‘Stam’ (Biashara United)

Fred Felix ‘Minziro’ (Singida United)

Ndayiragije (Azam FC)

Mlale Hamsini (Ndanda FC)

Mwinyi Zahera (Yanga)

Jackson Mayanja (KMC)