No Agenda: Maisha ya Darassa ni shule ya mafanikio kimuziki

Muktasari:

Siku nyingine unaamua kufanya kitu rahisi cha kuwafanya watu wacheze na kusahau shida zao, hapohapo kila kitu kinabadilika. Taifa linageuka kichaa kwa mapenzi makubwa kwa wimbo wenyewe.