Mastaa 80 wa Ligi Kuu England wakitajwa tu basi ujue mabao

Wednesday September 16 2020

 

LONDON,ENGLAND . TIMO Werner, Kai Havertz, James Rodriguez, Donny van de Beek na Hakim Ziyech ndo kwanza wametua kwenye Ligi Kuu England huku mashabiki wa timu zao wakitarajia mambo makubwa kutoka kwao.

Wakati msimu wa ligi hiyo ukiwa ndo kwanza unaanza, mastaa hao ambao wote ni moto kwenye mambo ya kufunga na kuasisti, kwenye Ligi Kuu England watakuwa na safari ndefu ya kufikia kile ambacho wakali wengine walifanya kwenye michuano hiyo na kuacha kumbukumbu tamu za majina yao licha ya sasa wakiwa wameachana na mikikimikiki hiyo, wengine wakihama na wengine kustaafu.

Kutokana na hilo, hawa hapa masupastaa 80 ambao kwa sasa hawapo Ligi Kuu England, lakini majina yao yameacha kumbukumbu tamu kabisa katika suala la kufunga na kuasisti kuwafanya wahusike kwenye mambo mengi katika vikosi vyao.

80.Aaron Ramsey

Amefunga: 40

Asisti: 46

Advertisement

Jumla: Mabao 86

Taifa: Wales

79.Chris Armstrong

Amefunga: 71

Asisti: 16

Jumla: Mabao 87

Taifa: England

78.Tony Cottee

Amefunga: 78

Asisti: 10

Jumla: Mabao 88

Taifa: England

77.Paul Merson

Amefunga: 46

Asisti: 43

Jumla: Mabao 89

Taifa: England

76.Peter Beardsley

Amefunga: 58

Asisti: 33

Jumla: Mabao 91

Taifa: England

75.Stan Collymore

Amefunga: 62

Asisti: 29

Jumla: Mabao 91

Taifa: England

74.Duncan Ferguson

Amefunga: 68

Asisti: 24

Jumla: Mabao 92

Taifa: Scotland

73.Luis Suarez

Amefunga: 69

Asisti: 23

Jumla: Mabao 92

Taifa: Uruguay

72.Steed Malbranque

Amefunga: 39

Asisti: 55

Jumla: Mabao 94

Taifa: Ufaransa

71.Yaya Toure

Amefunga: 62

Asisti: 32

Jumla: Mabao 94

Taifa: Ivory Coast

70.Alexis Sanchez

Amefunga: 63

Asisti: 31

Jumla: Mabao 94

Taifa: Chile

69.Kevin Nolan

Amefunga: 69

Asisti: 26

Jumla: Mabao 95

Taifa: England

68.Lee Bowyer

Amefunga: 57

Asisti: 38

Jumla: Mabao 95

Taifa: England

67.Harry Kewell

Amefunga: 57

Asisti: 38

Jumla: Mabao 95

Taifa: Australia

66.Gary McAllister

Amefunga: 49

Asisti: 47

Jumla: Mabao 96

Taifa: Scotland

65.Stewart Downing

Amefunga: 37

Asisti: 59

Jumla: Mabao 96

Taifa: England

64.Niall Quinn

Amefunga: 59

Asisti: 37

Jumla: Mabao 96

Taifa: Ireland

63.Trevor Sinclair

Amefunga: 52

Asisti: 45

Jumla: Mabao 97

Taifa: England

62.Mark Hughes

Amefunga: 64

Asisti: 33

Jumla: Mabao 97

Taifa: Wales

61.Steve McManaman

Amefunga: 41

Asisti: 59

Jumla: Mabao 100

Taifa: England

60.Gianfranco Zola

Amefunga: 59

Asisti: 42

Jumla: Mabao 101

Taifa: Italia

59.Robert Pires

Amefunga: 62

Asisti: 41

Jumla: Mabao 103

Taifa: Ufaransa

58.Nicky Barmby

Amefunga: 53

Asisti: 50

Jumla: Mabao 103

Taifa: England

57.Danny Murphy

Amefunga: 50

Asisti: 55

Jumla: Mabao 105

Taifa: England

56.Darren Anderton

Amefunga: 37

Asisti: 68

Jumla: Mabao 105

Taifa: England

55.Louis Saha

Amefunga: 85

Asisti: 20

Jumla: Mabao 105

Taifa: Ufaransa

54.Gabriel

Agbonlahor

Amefunga: 74

Asisti: 34

Jumla: Mabao 108

Taifa: England

53.Ruud van

Nistelrooy

Amefunga: 95

Asisti: 14

Jumla: Mabao 109

Taifa: Uholanzi

52.Damien Duff

Amefunga: 54

Asisti: 55

Jumla: Mabao 109

Taifa: Ireland

51.Nolberto Solano

Amefunga: 49

Asisti: 62

Jumla: Mabao 111

Taifa: Peru

50.Craig Bellamy

Amefunga: 81

Asisti: 31

Jumla: Mabao 112

Taifa: Wales

49.Brian Deane

Amefunga: 71

Asisti: 41

Jumla: Mabao 112

Taifa: England

48.Fernando Torres

Amefunga: 85

Asisti: 29

Jumla: Mabao 114

Taifa: Hispania

47.Paolo di Canio

Amefunga: 66

Asisti: 49

Jumla: Mabao 115

Taifa: Italia

46.Kevin Phillips

Amefunga: 92

Asisti: 24

Jumla: Mabao 116

Taifa: England

45.Ashley Young

Amefunga: 48

Asisti: 69

Jumla: Mabao 117

Taifa: England

44.Gareth Barry

Amefunga: 53

Asisti: 64

Jumla: Mabao 117

Taifa: England

43.Cristiano Ronaldo

Amefunga: 84

Asisti: 34

Jumla: Mabao 118

Taifa: Ureno

42.Kevin Campbell

Amefunga: 83

Asisti: 36

Jumla: Mabao 119

Taifa: England

41.Mark Viduka

Amefunga: 92

Asisti: 28

Jumla: Mabao 120

Taifa: Australia

40.Carlos Tevez

Amefunga: 84

Asisti: 36

Jumla: Mabao 120

Taifa: Argentina

39.Yakubu

Amefunga: 95

Asisti: 26

Jumla: Mabao 121

Taifa: Nigeria

38.Darren Bent

Amefunga: 106

Asisti: 15

Jumla: Mabao 121

Taifa: England

37.Gary Speed

Amefunga: 80

Asisti: 44

Jumla: Mabao 124

Taifa: Wales

36.Chris Sutton

Amefunga: 83

Asisti: 41

Jumla: Mabao 124

Taifa: England

35.Eric Cantona

Amefunga: 70

Asisti: 56

Jumla: Mabao 126

Taifa: Ufaransa

34.Ole Gunnar Solskjaer

Amefunga: 91

Asisti: 37

Jumla: Mabao 128

Taifa: Norway

33.James Beattie

Amefunga: 91

Asisti: 37

Jumla: Mabao 128

Taifa: England

32.Emmanuel Adebayor

Amefunga: 97

Asisti: 36

Jumla: Mabao 133

Taifa: Togo

31.Dimitar Berbatov

Amefunga: 94

Asisti: 40

Jumla: Mabao 134

Taifa: Bulgaria

30.Ian Wright

Amefunga: 113

Asisti: 22

Jumla: Mabao 135

Taifa: England

29.David Beckham

Amefunga: 62

Asisti: 80

Jumla: Mabao 142

Taifa: England

28.Kevin Davies

Amefunga: 88

Asisti: 55

Jumla: Mabao 143

Taifa: England

27.David Silva

Amefunga: 57

Asisti: 90

Jumla: Mabao 147

Taifa: Hispania

26.Romelu Lukaku

Amefunga: 113

Asisti: 35

Jumla: Mabao 148

Taifa: Ubelgiji

25.Dion Dublin

Amefunga: 111

Asisti: 40

Jumla: Mabao 151

Taifa: England

24.Didier Drogba

Amefunga: 104

Asisti: 54

Jumla: Mabao 158

Taifa: Ivory Coast

23.Cesc Fabregas

Amefunga: 50

Asisti: 111

Jumla: Mabao 161

Taifa: Hispania

22.Paul Scholes

Amefunga: 107

Asisti: 55

Jumla: Mabao 162

Taifa: England

21.Robbie Keane

Amefunga: 126

Asisti: 37

Jumla: Mabao 163

Taifa: Ireland

20.Emile Heskey

Amefunga: 110

Asisti: 53

Jumla: Mabao 163

Taifa: England

19.Matthew Le Tissier

Amefunga: 101

Asisti: 64

Jumla: Mabao 165

Taifa: England

18.Peter Crouch

Amefunga: 108

Asisti: 58

Jumla: Mabao 166

Taifa: England

17.Nicolas Anelka

Amefunga: 125

Asisti: 48

Jumla: Mabao 173

Taifa: Ufaransa

16.Dwight Yorke

Amefunga: 123

Asisti: 50

Jumla: Mabao 173

Taifa: TRINIDAD & TOBAGO

15.Michael Owen

Amefunga: 150

Asisti: 31

Jumla: Mabao 181

Taifa: England

14.Dennis Bergkamp

Amefunga: 87

Asisti: 94

Jumla: Mabao 181

Taifa: Uholanzi

13.Jimmy Floyd Hasselbaink

Amefunga: 128

Asisti: 58

Jumla: Mabao 186

Taifa: Uholanzi

12.Jermain Defoe

Amefunga: 162

Asisti: 33

Jumla: Mabao 195

Taifa: England

11.Robin Van Persie

Amefunga: 144

Asisti: 53

Jumla: Mabao 197

Taifa: Uholanzi

10.Les Ferdinand

Amefunga: 149

Asisti: 49

Jumla: Mabao 198

Taifa: England

9.Robbie Fowler

Amefunga: 163

Asisti: 39

Jumla: Mabao 202

Taifa: England

8.Steven Gerrard

Amefunga: 120

Asisti: 92

Jumla: Mabao 212

Taifa: England

7.Teddy Sheringham

Amefunga: 147

Asisti: 76

Jumla: Mabao 223

Taifa: England

6.Thierry Henry

Amefunga: 175

Asisti: 74

Jumla: Mabao 249

Taifa: Ufaransa

5.Andrew Cole

Amefunga: 187

Asisti: 73

Jumla: Mabao 260

Taifa: England

4.Ryan Giggs

Amefunga: 109

Asisti: 162

Jumla: Mabao 271

Taifa: Wales

3.Frank Lampard

Amefunga: 177

Asisti: 102

Jumla: Mabao 279

Taifa: England

2.Wayne Rooney

Amefunga: 208

Asisti: 103

Jumla: Mabao 311

Taifa: England

1.Alan Shearer

Amefunga:260

Asisti: 64

Jumla: Mabao 324

Taifa: England

 

 

Advertisement