Angalia usajili wote wa klabu za England kabla kufungwa leo

Muktasari:

Manchester United ni miongoni mwa timu zinazotarajia kufanya usajili kwenye siku ya mwisho, wakimsaka kiungo Christian Eriksen kutoka Spurs, huku wakimweka kwenye mipango yao mshambuliao Mario Mandzukic wa Juventus na Fernando Llorente wa Spurs.

LONDON, ENGLAND. KUMENOGA huko kwenye Ligi Kuu England. Dirisha la usajili wa majira ya kiangazi kwa timu za England linafungwa leo Alhamisi na sasa timu zinapambana jino kwa jino katika kunasa saini mpya katika siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha hilo la usajili.
Kuna mastaa kibao wamekuwa wakihusishwa na uhamisho kwenye siku hiyo ya mwisho huku wakiwamo kadhaa wanaogombaniwa na klabu vigogo kwenye Ligi Kuu England. Supastaa wa Kibrazili, Philippe Coutinho alitajwa kuzigonganisha Tottenham Hotspur na mahasimu wao Arsenal katika kuinasa huduma yake na jambo hilo linatarajia kutokea ndani ya siku ya leo.
Barcelona wenyewe wapo tayari kumruhusu Coutinho kurudi kwenye Ligi Kuu England.
Spurs pia walikuwa kwenye mchakamchaka wa kumsaka Muargentina, Paulo Dybala, ambaye imedaiwa kwamba Juventus wamekubali kumuuza, lakini shida nni mchezaji mwenyewe kutaka kulipwa mshahara mkubwa kuliko Harry Kane atakapotua kwenye kikosi hicho cha London.
Manchester United ni miongoni mwa timu zinazotarajia kufanya usajili kwenye siku ya mwisho, wakimsaka kiungo Christian Eriksen kutoka Spurs, huku wakimweka kwenye mipango yao mshambuliao Mario Mandzukic wa Juventus na Fernando Llorente wa Spurs.
 Man United walikuwa kwenye mchakato huo ikizingatia kwamba kocha Ole Gunnar Solskjaer anataka kuachana na straika Romelu Lukaku.
Staa mwingine aliyekuwa akisubiriwa kutoa Old Trafford katika siku ya mwisho ya usajili ni kiungo Bruno Fernandez, ambaye pia amedaiwa kusakwa na Spurs.
Everton wao walikuwa kwenye mchakamchaka wa kumnasa Nathan Ake, huku Arsenal wakiwa kwenye mpango wao wa kunasa huduma ya Danielle Rugani sambamba na kumtaka beki wa Kifaransa, Upamecano na jambo hilo lilidaiwa kwamba huenda likamhusisha kiungo Mesut Ozil kwenye dili la kubadilishana wachezaji na RB Leipzig.
Wakati hao na mastaa wengine kibao wanaotarajiwa kunaswa na klabu za Ligi Kuu England kabla ya dirisha la usajili kufungwa leo, hii hapa ndio orodha ya wachezaji walioingia na kutoka kwenye vikosi vyote 20 kwenye Ligi Kuu England msimu wa 2019/20.

Arsenal
Walioingia
Nicolas Pepe – Lille, Pauni 72milioni
William Saliba – Saint-Etienne, Pauni 27 milioni
Dani Ceballos – Real Madrid, mkopo
Gabriel Martinelli – Ituano Futebol Clube, imefichwa

Waliotoka
Krystian Bielik – Derby, imefichwa
Ben Sheaf – Doncaster, mkopo
Aaron Ramsey – Juventus, bure
Petr Cech – amestaafu
Danny Welbeck – ameachwa
Stephan Lichtsteiner – ameachwa
Cohen Bramall – ameachwa
Charlie Gilmour – ameachwa
Julio Pleguezuelo – ameachwa
Jordi Osei-Tutu – VfL Bochum, mkopo
Daniel Ballard – Swindon, mkopo
David Ospina – Napoli, Pauni 5milioni
Laurent Koscielny – Bordeaux, Pauni 5milioni

Aston Villa
Walioingia
Tom Heaton – Burnley, Pauni 8milioni
Douglas Luiz – Man City, Pauni 15milioni
Ezri Konsa – Brentford, Pauni 12milioni
Tyrone Mings – Bournemouth, Pauni 20milioni
Kortney Hause – Wolves, Pauni 3milioni
Wesley – Club Brugge, imefichwa
Anwar El Ghazi – Lille, Pauni 7.5milioni
Jota – Birmingham, imefichwa
Matt Targett – Southampton, imefichwa
Trezeguet – Kasimpasa, Pauni 8.75milioni
Bjorn Engels – Reims, imefichwa
Marvelous Nakamba – Club Brugge, Pauni 11milioni

Waliotoka
Rushian Hepburn-Murphy – Tranmere, mkopo
Jordan Lyden – Swindon, bure
Corey Blackett-Taylor – Tranmere, bure
Harry McKirdy – Carlisle, bure
Tommy Elphick – Huddersfield, bure
Gary Gardner – Birmingham, imefichwa
Ross McCormack – ameachwa
Albert Adomah – Nottingham Forest, bure
Mark Bunn – ameachwa
Ritchie De Laet – ameachwa
Alan Hutton – ameachwa
Mile Jedinak – ameachwa
Micah Richards – ameachwa
Glenn Whelan – ameachwa
Matija Sarkic – Livingston, mkopo
Andre Green – Preston, mkopo
Jake Doyle-Hales – Cheltenham Town, mkopo

Bournemouth
Walioingia
Harry Wilson – Liverpool, mkopo
Arnaut Danjuma – Club Bruges, Pauni 13.7milioni
Philip Billing – Huddersfield, Pauni 15milioni
Jack Stacey – Luton Town, Pauni 4milioni
Lloyd Kelly – Bristol City, imefichwa

Waliotoka
Lys Mousset – Sheffield United, Pauni 10milioni
Marc Pugh – ameachwa
Mikael Ndjoli – Gillingham, mkopo
Emerson Hyndman – Atlanta United, mkopo
Tyrone Mings – Aston Villa, Pauni 20milioni
Connor Mahoney – Millwall, imefichwa
Harry Arter – Fulham, mkopo

Brighton
Walioingia
Adam Webster – Bristol City, Pauni 20milioni
Leandro Trossard – Genk, imefichwa
Matt Clarke – Portsmouth, imefichwa
Neal Maupay – Brentford, imefichwa

Waliotoka
Matt Clarke – Derby, mkopo
Percy Tau – Club Brugge, mkopo
Christian Walton – Blackburn, mkopo
Jayson Molumby – Milwall, mkopo
Anthony Knockaert – Fulham, mkopo
Bruno – amestaafu
David Ajiboye – ameachwa
Jonah Ayunga – ameachwa
Tyler Forbes – ameachwa
Dessie Hutchinson – ameachwa
Reece Meekums – ameachwa
Rian O’Sullivan – ameachwa
Will Collar – Hamilton Academical, mkopo
Alexis Mac Allister – Boca Juniors, mkopo
Ben White – Leeds United, mkopo
Robert Sanchez – Rochdale, mkopo
Jan Mlakar – QPR, mkopo

Burnley
Walioingia
Bailey Peacock-Farrell – Leeds United, Pauni 2.5milioni
Erik Pieters – Stoke, imefichwa
Joel Senior – Curzon Ashton, imefichwa

Waliotoka
Tom Heaton – Aston Villa, Pauni 8milioni
Stephen Ward – Stoke, bure
Anders Lindegaard – ameachwa
Jon Walters – amestaafu
Peter Crouch – ameachwa
Mark Howarth – ameachwa

Chelsea
Walioingia
Mateo Kovacic – Real Madrid, Pauni 40milioni
Christian Pulisic – Borussia Dortmund

Waliotoka
Eden Hazard – Real Madrid, Pauni 89milioni
Kasey Palmer – Bristol City, imefichwa
Ethan Ampadu – RB Leipzig, mkopo
Jake Clarke-Salter – Birmingham, mkopo
Matt Miazga – Reading, mkopo
Kylian Hazard – Cercle Brugge, imefichwa
Marcin Bulka – Paris St-Germain, bure
Tomas Kalas – Bristol City, imefichwa
Fankaty Dabo – Coventry, bure
Luke McCormick – Shrewsbury, mkopo
Brad Collins – Barnsley, bure
Jay Dasilva – Bristol City, Pauni 2.1milioni
Victorian Angban – Metz, Pauni 5.4milioni
Ola Aina – Torino, imefichwa
Gary Cahill – Crystal Palace, bure
Rob Green – amestaafu
Todd Kane – ameachwa
Eduardo – ameachwa
Kyle Scott – ameachwa
Joseph Colley – ameachwa
Ruben Sammut – Sunderland, bure
Marcin Bulka – Paris Saint-German, bure
Nathan Baxter – Ross County, mkopo
Richard Nartey – Burton, mkopo
Victor Moses – Fenerbahce, mkopo
Alvaro Morata – Atletico Madrid, mkopo
Mario Pasalic – Atalanta, mkopo
Dujon Sterling – Wigan, mkopo
Charly Musonda – Vitesse, mkopo
Nathan – Atletico Mineira, mkopo
Conor Gallagher – Charlton, mkopo

Crystal Palace
Walioingia
Jordan Ayew – Swansea, Pauni 2.5milioni
Stephen Henderson – Nottingham Forest, bure
Gary Cahill – Chelsea, bure

Waliotoka
Bakary Sako – Denizlispor, bure
Aaron Wan-Bissaka – Man United, Pauni 50milioni
Julian Speroni – ameachwa
Jason Puncheon – Pafos, bure
Bakary Sako – ameachwa
Ollie O’Dwyer – Aldershot, bure
Joseph Hungbo – ameachwa
Tyler Brown – ameachwa
Levi Lumeka – Varzim, imefichwa
Alexander Sorloth – Trabzonspor, mkopo
Pape Souare – Troyes, bure

Everton
Walioingia
Jean-Philippe Gbamin – Mainz, Pauni 25milioni
Moise Kean – Everton, imefichwa
Fabian Delph – Man City, Pauni 10milioni
Andre Gomes – Barcelona, Pauni 22milioni
Jonas Lossl – Huddersfield, bure

Waliotoka
Nathan Broadhead – Burton, mkopo
Idrissa Gueye – PSG, Pauni 30milioni
Ademola Lookman – RB Leipzig, Pauni 22.5milioni
Josh Bowler – Hull, mkopo
Antonee Robinson – Wigan, imefichwa
Korede Adedoyin – Hamilton, mkopo
Kieran Dowell – Derby, mkopo
Joao Virginia – Reading, mkopo
Luke Garbutt – Ipswich, mkopo
Brendan Galloway – Luton, bure
Phil Jagielka – Sheffield United, bure
Ashley Williams – ameachwa
Harry Charsley – ameachwa
Boris Mathis – ameachwa
Mateusz Hewelt – ameachwa
Shayne Lavery – ameachwa
Jack Kiersey – Walsall, bure
Danny Bramall – ameachwa
Joe Hilton – ameachwa
Chris Renshaw – ameachwa
Jonjoe Kenny – Schalke, mkopo
Nikola Vlasic – CSKA Moscow, imefichwa
Joe Williams – Wigan, imefichwa

Leicester City
Walioingia
Youri Tielemans – Monaco, Pauni 40milioni
Ayoze Perez – Newcastle, Pauni 30milioni
James Justin – Luton Town, imefichwa

Waliotoka
Harry Maguire – Man United, Pauni 80milioni
Elliott Moore – Oxford United, imefichwa
Lamine Kaba Sherif – Accrington, bure
Danny Simpson – ameachwa
Shinji Okazaki – Malaga, bure
Daniel Iversen – Rotherham, mkopo
Josh Knight – Peterborough, mkopo
Ryan Loft – Carlisle, mkopo

Liverpool
Walioingia
Sepp van den Berg – PEC Zwolle, Pauni 1.3milioni
Harvey Elliott, Fulham, imefichwa
Adrian – West Ham, bure

Waliotoka
Harry Wilson – Bournemouth, mkopo
Simon Mignolet – Club Bruges, Pauni 6.4milioni
Ben Woodburn – Oxford, mkopo
Kamil Grabara – Huddersfield, mkopo
Sheyi Ojo – Rangers, mkopo
Alberto Moreno – Villarreal, bure
Daniel Sturridge – ameachwa
Adam Bogdan – ameachwa
Connor Randall – ameachwa
Rafael Camacho – Sporting CP, Pauni 5milioni
Marko Grujic – Hertha BSC, mkopo
Conor Masterson – QPR, bure
Danny Ings – Southampton, Pauni 20milioni

Manchester City
Walioingia
Rodri – Atletico Madrid, Pauni 68.2milioni

Waliotoka
Tosin Adarabioyo – Blackburn, mkopo
Douglas Luiz – Aston Villa, Pauni 15milioni
Fabian Delph – Everton, Pauni 10milioni
Arijanet Muric – Nottingham Forest, mkopo
Vincent Kompany – Anderlecht, bure
Patrick Roberts – Norwich, mkopo
Tom Dele-Bashiru – Watford, fidia
Aaron Nemane – ameachwa
Jack Harrison – Leeds United, mkopo
Matt Smith – QPR katolewa kwa  mkopo

Manchester United
Walioingia
Daniel James – Swansea, Pauni 15milioni
Aaron Wan-Bissaka – Crystal Palace, Pauni 50milioni
Harry Maguire – Leicester, Pauni 80milioni

Waliotoka
Dean Henderson – Sheffield United, mkopo
Ander Herrera – PSG, bure
Antonio Valencia – LDU Quito, bure
Matthew Olosunde – Rotherham, bure
Regan Poole – MK Dons, bure
James Wilson – Aberdeen, bure
Matty Willock – Gillingham, bure
Kieran O’Hara – Burton, mkopo
Joshua Bohui – NAC Breda, bure

Newcastle United
Walioingia
Joelinton – Hoffenheim, Pauni 40milioni
Jetro Willems – Newcastle, mkopo
Allan Saint-Maximin – Newcastle, imefichwa

Waliotoka
Ayoze Perez – Leicester, Pauni 30milioni
Mohamed Diame – ameachwa
Cal Roberts – ameachwa
Josef Yarney – ameachwa
Tyrique Bartlett – ameachwa
Dan Barlaser – Rotherham, mkopo

Norwich City
Walioingia
Sam Byram – West Ham, imefichwa
Josip Drmic – Borussia Monchengladbach, bure
Patrick Roberts – Manchester City, mkopo
Daniel Adshead – Rochdale, imefichwa
Archie Mair – Aberdeen, imefichwa
Rob Nizet – Anderlecht, imefichwa
Ralf Fahrmann – FC Schalke 04, mkopo
Aidan Fitzpatrick – Partick Thistle, Pauni 350,000

Waliotoka
Diallang Jaiyesimi – Swindon, mkopo
Steven Naismith – Hearts, bure
Rocky Bushiri – Blackpool, mkopo
James Husband – Blackpool, mkopo
Tristan Abrahams – Newport, bure
Carlton Morris – Rotherham United, mkopo
Mason Bloomfield – Crawley Town, mkopo
Ivo Pinto – Dinamo Zagreb, bure
Ciaren Jones – Eastbourne Borough, mkopo
Josh Coley – Dunfermline Athletic, mkopo
Marcel Franke – Hannover 96, imefichwa
Sean Raggett – Portsmouth, mkopo

Sheffield United
Walioingia
Oli McBurnie – Swansea, Pauni 17.5milioni
Lys Mousset – Bournemouth, Pauni 10milioni
Phil Jagielka – Everton, bure
Luke Freeman – QPR, imefichwa
Callum Robinson – Sheffield United, imefichwa

Waliotoka
Ched Evans – Fleetwood, imefichwa
Tyler Smith – Bristol Rovers, mkopo
Jake Eastwood – Scunthorpe, mkopo
Paul Coutts – imefichwa
Martin Crainie – imefichwa
Conor Washington – imefichwa
Daniel Lafferty – imefichwa
Caolan Lavery – Walsall, bure
Nathan Thomas – Carlisle, mkopo

Southampton
Walioingia
Moussa Djenepo – Standard Liege, Pauni 14milioni
Che Adams – Birmingham City, imefichwa
Danny Ings – Liverpool, Pauni 20milioni

Waliotoka
Sam Gallagher – Blackburn, imefichwa
Jack Rose – Walsall, mkopo
Steven Davis – Rangers, bure
Matt Targett – Aston Villa, imefichwa

Tottenham Hotspur
Walioingia
Jack Clarke – Leeds, Pauni 10milioni
Kion Etete – Notts County, imefichwa

Waliotoka
Vincent Janssen – Monterrey, imefichwa
Kieran Trippier – Atletico Madrid, Pauni 20milioni
Jack Clarke – Leeds, mkopo
Connor Ogilvie – Gillingham, imefichwa
Michel Vorm – ameachwa
Dylan Duncan – ameachwa
Charlie Freeman – ameachwa
Tom Glover – ameachwa
Jamie Reynolds – ameachwa
Luke Amos – QPR, mkopo

Watford
Walioingia
Bayli Spencer-Adams – bure
Craig Dawson – West Brom, imefichwa
Tom Dele-Bashiru – Manchester City, fidia

Waliotoka
Alex Jakubiak – Gillingham, mkopo
Michael Folivi – Wimbledon, mkopo
Tommie Hoban – ameachwa
Miguel Britos – ameachwa
Obbi Oulare – Standard Liege, imefichwa
Ashley Charles – ameachwa
Andrew Eleftheriou – ameachwa
Sam Howes – ameachwa
Tom Leighton – ameachwa
Joy Mukena – ameachwa
Michael Mullings – ameachwa
Kai Sanders – ameachwa
Sam Sesay – ameachwa
Ryan Suckling – ameachwa
Ben Tricker – ameachwa
Jerome Sinclair – VVV-Venlo, mkopo

West Ham United
Walioingia
Sebastien Haller – E.Frankfurt, Pauni 45milioni
Pablo Fornals – Villarreal, Pauni 24milioni
Roberto – Espanyol, bure
David Martin – Millwall, imefichwa
Goncalo Cardosa – Boavista, Pauni 3milioni

Waliotoka
Reece Oxford – Augsburg, imefichwa
Jordan Hugill – QPR, mkopo
Marcus Browne – Middlesbrough, imefichwa
Sam Byram – Norwich, imefichwa
Marko Arnautovic – Shanghai SIPG, Pauni 23milioni
Edimilson Fernandes – FSV Mainz, imefichwa
Nathan Trott – AFC Wimbledon, mkopo
Josh Pask – Coventry, bure
Adrian – Liverpool, bure
Andy Carroll – ameachwa
Samir Nasri – Anderlecht, bure
Toni Martinez – ameachwa
Moses Makasi – ameachwa
Noha Sylvestre – ameachwa
Vashon Neufville – ameachwa
Lucas Perez – Alaves, imefichwa
Pedro Obiang – Sassuolo, imefichwa

Wolves
Walioingia
Renat Dadashov – Estoril, imefichwa
Patrick Cutrone – AC Milan, Pauni 16milioni
Raul Jimenez – Benfica, imefichwa
Hong – Yeovil Town, imefichwa
Raphael Nya – PSG, imefichwa
Leander Dendoncker – Anderlecht, imefichwa
Jesus Vallejo – Real Madrid, mkopo

Waliotoka
Cameron John – Doncaster, mkopo
Jack Ruddy – Ross County, imefichwa
Ivan Cavaleiro – Fulham, mkopo
Sherwin Seedorf – Motherwell, mkopo
Helder Costa – Leeds, mkopo
Ryan Giles – Shrewsbury, mkopo
Joe Mason – MK Dons, bure
Ethan Ebanks-Landell – Shrewsbury Town, imefichwa
Kevin Berkoe – Oxford, bure
Michal Zyro – ameachwa
Carlos Heredia – ameachwa
Ben Goodliffe – ameachwa
Aaron Hayden – Carlisle, bure
Diego Lattie – ameachwa
Enzo Sauvage – ameachwa
Christian Herc – Viktoria Plzen, mkopo
Kortney Hause – Aston Villa, imefichwa
Rafa Mir – Nottingham Forest, mkopo
Will Norris – Ipswich, mkopo
Niall Ennis – Doncaster, mkopo
Cameron John – Doncaster, mkopo
Renat Dadashov –
Pacos de Ferreira,
mkopo