Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

80 results for Faki Faki :

  1. HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 5

    Alipoingia katikati ya kundi hilo akaliona gari la Idara ya upelelezi alilokuwa akiendesha Temba, tairi zake za mbele zimeingia katika mfereji. Msembeko alichungulia ndani ya gari hilo na...

  2. HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 30

    Tukaenda na Mustafa hospitali ya Muhimbili. Musa alikuwa amelala kichalichali. Alionyesha alikuwa taabani. Mguu mmoja ulikuwa umening’inizwa. Mguu mwingine ulikuwa umefungwa bendeji ngumu.

  3. HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 29

    Pale pale tulipokaa nikaanza kumpa Sele maneno matamu ya chumbani kisha nikamshika mkono kuminua, nikaingia naye chumbani. Wewe utajua kilichonifanya nimpeleke huko chumbani.

  4. HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 4

    “Kuna tatizo kidogo. Kuna mfungwa mmoja aliyehukumiwa kifungo cha miaka thelathini mwezi Novemba mwaka jana, anaitwa Christian Bambo.” “Ndiyo Bambo, tuko naye.”

  5. HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 28

    Baada ya kuolewa na Sele saa tano usiku nilihesabu ndoa ya tatu. Nikajiambia nisingeweza kuishi na waume watatu kwa muda mrefu. Kitu cha msingi ni kutafuta sababu ili niachwe na waume wengine.

  6. HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 3

    Temba akawa anaitazama picha ya mtu mwenye uso wa miraba minne, macho makubwa na pua iliyofura. Alikuwa na alama ya kushonwa ngozi kwenye paji la uso wake.Christian Bambo.” Temba alitamka baada...

  7. HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 2

    AZIZ anajikuta anaingia katika mkasa mwingine wa kupambana na magaidi waliomteka nyara binti wa bilionea mmoja wa Uingereza na kushinikiza walipwe mabilioni. Walitoa siku saba tu za kulipwa pesa...

  8. HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 27

    Nilipomaliza, nilitoka nikaenda kufungua friza na kuitazama hiyo nyama iliyoletwa. Nikamuita mtumishi wetu. “Njoo na kisu na sufuria,” nikamwambia. Mtumishi huyo alipofika nilichukua kisu...

  9. HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 1

    Mwandishi mahiri wa riwaya nchini, Faki A. Faki anakuja na mzigo mpya kabisa wa kisa cha upelelezi, mapenzi na maisha ya kawaida. Binti wa bilionea anatekwa na magaidi ambao wanataka...

  10. HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 26

    Nikazipokea zile pesa na kubaki nazo mkononi. Uso wangu haukuficha hasira niliyokuwa nayo. “Mama mbona umekasirika?” Yule mtu akaniuliza akionyesha kunistukia nilivyobadilika.

Page 1 of 8

Next