Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

721 results for Nevumba Abubakar :

  1. WAKO WAPI? Waliibuka ghafla kisha wakapotea

    KUWA namba moja ni jambo gumu, lakini kuendelea kuwa namba moja ni jambo guu zaidi, wahenga walisema.

    WAPI Pict
  2. Chilunda atupia mbili KMC iking'ara nyumbani

    KMC imeondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiitandika mabao 3-2 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar.

  3. CHOBANKA: Kocha wa Masaka anayeeleza kwanini anafundisha wanawake

    KAMA kuna kocha aliyevumbua vipaji vya soka kwa mabinti wadogo, basi ni huyu Ezekiel Chobanka ambaye anaifundisha Ceasiaa Queens ya mkoani Iringa.

  4. Lamine Yamal alivyoirudisha mjini 'Shake Body' ya Skales

    WIKIENDI iliyopita nyota wa Barcelona, Lamine Yamal aliingia kwenye vichwa mbalimbali vya habari za burudani baada ya kufanya chalenji ya wimbo wa 'Shake Body'.

    LAMINE Pict
  5. Kocha Ceasiaa Queens alia na waamuzi

    KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema kuna haja waamuzi kuchezesha vyema mechi na kuacha kupendelea timu moja hasa kubwa.

    CHOBANKA Pict
  6. Southampton ya England yamuwinda Miroshi

    INAELEZWA Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu England imevutiwa na uwezo wa Mtanzania Novatus Miroshi anayekipiga Goztepe ya Uturuki na imepanga kumsajili dirisha lijalo la usajili Ulaya.

    MIROSHI Pict
  7. Ligi Kuu ya Wanawake kuna vita mbili

    ZIKIWA zimesalia mechi nne kumalizaka kwa msimu wa 2024/25 kwa Ligi Kuu ya Wanawake kuna vita mbili kwenye ligi hiyo za kuwania nafasi.

    VITA Pict
  8. Kocha JKT Queens aja na mikakati WPL

    BAADA ya kukusanya pointi 38 na kukaa kileleni, Kocha wa JKT Queens, Esther Chabruma amesema wanaandaa mikakati ya kupata pointi 12 za kuwania ubingwa.

    CHABRUMA Pict
  9. Kiungo Yanga Princess aahidi makubwa

    KIUNGO wa Yanga Princess, Lydia Akoth amesema kuonyeshwa upendo na mashabiki wa timu hiyo inampa deni kubwa la kuipambania kuhakikisha inafanya vizuri kwenye mechi zilizosalia.

    KIUNGO Pict
  10. Evalisto asikilizia dili nono Misri

    MSHAMBULIAJI wa Makadi FC, Oscar Evalisto amesema mkataba wake na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri umemalizika na sasa anasikilizia dili nono zaidi kutoka timu hiyo au nyingine...

    DILI Pict
Previous

Page 10 of 73

Next