Kanoute, Duchu wazuiwa Kwa Mkapa MASTAA wa Simba, kipa Ally Salim, beki David Kameta 'Duchu' na kiungo Sadio Kanoute ambao sio sehemu ya kikosi cha timu hiyo kinachoivaa Jwaneng Galaxy ya Botswana wamekutana na sapraizi ya aina...
Pogba ndo hivyo tena Kwa mujibu wa gazeti la La Repubblica la Italia, upande wa mashtaka haukuamini madai ya Pogba ambaye alijitetea kwamba alikula dawa hizo bila ya kujua.
Dani Alves avuliwa ulijendari Barca Baada ya kuhukumiwa miaka minne jela kutokana na unyanyasaji wa kijinsia, Barcelona imemuondoa Dani Alves kwenye orodha ya wachezaji waliopewa heshima ya ulijendari wa timu hiyo. Katika kipindi...
Dani Alves mali alizoacha uraiani BARCELON, HISPANIA. WIKI iliyopita mchezaji wa zamani wa Barcelona, Dani Alves alikutwa na hatia ya kufanya unyanyasaji wa kijinsia kwa mwanamke mmoja huko jijini Barcelona nchini Hispania ambako...
Klopp aanza kufungasha virago kwa kombe IKIWA imebakia miezi michache kabla ya kuondoka kwenye kikosi cha Liverpool kocha wa timu hiyo Jurgen Klopp amepata zawadi ya kuwaachia mashabiki wa timu hiyo. Klopp amefanikisha hilo baada ya...
He! Bingwa Carabao kuvuna Sh322 milioni leo LEO katika dimba la Wembley mida ya saa 12:00 jioni, Chelsea na Liverpool zitakutana hapo kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Carabao ambapo mshindi atapokea zawadi ya Pauni 100,000 ambazo...
BAO LA MKONO: Diarra kwenye simulizi ya mapito ya Ronwen MJI wa Port Elizabeth unapatikana huko Mashariki mwa Afrika Kusini, ni kati ya miji ambayo imebeba historia kubwa ya Afrika Kusini kuanzia enzi za ukoloni hadi sasa. Ilikuwa ni sehemu ya kwanza...
Ed Sheeran alivyoongeza mwaka na maokoto LONDON, ENGLAND. JANA ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki wa Pop kutoka nchini Uingereza, Ed Sheeran ambaye mwaka jana alitawala vichwa vya habari duniani baada ya kushinda...
Benzema afukuzwa mazoezini Tetesi za mshambuliaji wa Al Ittihad, Karim Benzema kuondoka kwenye timu hiyo zimezidi kupamba moto baada ya staa huyo mwenye umri wa miaka 36, kufukuzwa mazoezini na kocha wake Marcelo Gallardo.
Kanuni yaigomea Simba MBALI ya Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kusema hakuna vikwazo kwa Simba kutumia Uwanja Mpya wa New Amaan Complex kwa mechi za Ligi Kuu Bara, kanuni za Bodi ya Ligi (TPLB) zinapinga suala...