Kwa Mtanzania mwaka 2022 ni mbali sana! MWANADAMU ameendelea kuishi maisha ya kibinafsi, hasa katika nchi inayoitwa Tanzania. Anaiwaza zaidi siku ya leo. Anaitazama vema jioni ya leo. Kesho ni siku nyingine. Hana habari nayo.
Kocha mpya Stars amchenjia Yondani KOCHA mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij, ameanza kazi na beki mahiri wa Tanzania, Kelvin Yondani. Beki huyo awali aliitwa kwenye kikosi kilichopigwa mabao 3-0 na Burundi, lakini akaingia mitini.
Tutawa-miss Simba & Yanga >NI mara chache sana Simba na Yanga kucheza kati yao na wachezaji kupona katika tuhuma za kuuza au kununua mechi.
Waleteni hao tumalizane Taifa >WALETENI hao. Klabu za Yanga na Simba leo Jumamosi zinacheza mechi ya kufunga pazia la Ligi Kuu Bara msimu wa 2013/14, matokeo yoyote hayawezi kubadili jambo lolote katika msimamo wa ligi...
Majeshi ya Yanga na Simba yaenda mafichoni AZAM FC imeshatangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, ndiyo bingwa mpya hakuna ubishi. Imefanya hivyo ikiwa na mechi moja mkononi itakayopigwa Jumamosi.
Yanga: pisha njia YANGA inapiga tu, yaani kila anayekatiza mbele yake anaambulia kichapo na jana Jumatano ilikuwa zamu ya Kagera Sugar iliyolambwa mabao 2-1 pale Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Beki Azam yawazidi nguvu Cannavaro, Twite BEKI ya Yanga chini ya nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kelvin Yondani ‘Vidic’, msimu uliopita ndio ilisifika kwa ubora kuliko timu nyingine za Ligi Kuu Bara hadi wakapachikwa jina la Ukuta wa...
Yanga nipe tano. NIPE tano! Ndiyo salamu ya mashabiki wa Yanga jana Jumatano baada ya timu yao kuisulubu bila huruma Prisons ya Mbeya kwa mabao 5-0 ndani ya Uwanja wa Taifa. Lakini bado ina kazi pevu kutetea...
Mpaka kieleweke VITA ya Azam na Yanga kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara imefikia patamu baada ya timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 jana Jumatano katika mechi iliyofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambayo...
Miamba ya soka kuitikisa dunia NDANI ya saa 48 Duniani kuna mechi tano muhimu ambazo ni pata potea. Ushinde ubaki au ufungwe ile kwako. Kuna mechi mbili kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya leo usiku Chelsea itarudiana na Galatasaray...