Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24797 results for tanzania :

  1. Giniki atwaa dhahabu Poland, avunja rekodi

    Mwanariadha nyota wa Tanzania, Emmanuel Giniki Gisamoda ametwaa medali ya dhahabu na kuvunja rekodi nchini Poland. Giniki ametawazwa kuwa bingwa mpya wa mbio ya nusu marathoni ya Warsaw...

  2. MPAPASO WA MASAU BWIRE: Hii Ruvu wala msiichukulie poa

    kwa jina la soda - ‘7up’, hata walipokwenda dukani kununua soda hiyo, hawakutamka jina la soda yenyewe, eti waliomba muuzaji awapatie Masau Bwire baridiiiiii, wakimaanisha soda hiyo ya 7up...

  3. Mbuna: Pacha na SMG Yanga ilikuwa noma na nusu

    wanaomkosha kwa sasa ni Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (Simba),Y assin Mustapha, Bakari Mwamnyeto, Shomari Kibwana, Farid Mussa, Denis Nkane (Yanga) na Adam Adam (Polisi...

  4. Kambi ya Kiduku yamjibu Mcongo kuhusu ubora wa Mwakinyo

    Saa chache baada ya Alex Kabangu kumtaja Hassan Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora nchini Tanzania, kambi ya bondia Twaha Kiduku imemjibu  bondia huyo wa DR Congo ambaye siku wa kumkia leo...

  5. Dakika 24 za kibabe kwa Kiduku, ashindwa kumaliza pambano raundi ya 7

    mapema, akipewa sapoti na mamia ya mashabiki waliojitokeza ukumbini, huku akijiamini bondia huyo alipanda ulingoni saa 6:17 usiku na kusalimia mashabiki ambao walimshangilia kwa nguvu wengine...

  6. Miujiza ya jezi ya Mayele, Simba hawaitaki watoa sababu

    akawa anavaa namba nane, lakini aliporejea Yanga SC alikuta namba 16 anavaa Nizar Khalfan, ambaye naye aligoma kuiachia. OMEGA SEMA - YANGA Ndiye aliyekuwa anaitumia jezi namba tisa baada ya...

  7. Chama la Masau lazitaka tatu Polisi

    WAZEE wa Kupapasa, Ruvu Shooting imeendelea kujifua kwa maandalizi ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania ilitopangwa kupigwa Aprili Mosi huku kocha Mkuu wa wajeshi hao Boniface...

  8. Diamond ana kila sababu kujiona bora

    Mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz amesema hapendezwi kushindanishwa na wasanii nchini kutokana na kuwazidi katika maeneo makuu matatu; ambayo ni mauzo, shoo za kimataifa na maendeleo...

  9. MTU WA MASHABIKI: Samatta, Msuva wameweza, nyie mnashindwaje kwani?

    bado somo halijawaingia. Ndio maana unaweza kushangazwa na mambo wanayofanya baadhi ya nyota. Nyota ambao kwa kuviangalia vipaji vyao na bahati wanazozipata, unaweza kuwabashiria watafika mbali...

  10. MTU WA PWANI: Klabu zisaidie muendelezo wa vijana Stars

    LIGI Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda kupisha mechi za timu za taifa kwa mujibu wa kalenda ya mashindano ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). Katika kipindi hiki cha kalenda ya mechi za...

Previous

Page 842 of 2480

Next