ZILITRENDI: Adhabu ya kina Matola yaivuruga Simba CAF KAMA kawaida Alhamisi kama leo katika ukurasa huu huwa tunaangalia mastori yaliyobamba miaka kadhaa iliyopita. Leo ikiwa ni Machi 31, lakini mwaka 2001, Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa...
MZEE WA UPUPU: Samatta havutii tena au watu hawafanyi kazi yao? HII ni picha ya Mbwana Samatta akishangilia bao lake la dakika ya 90+1 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, Machi 26, 2011. Na hili ndilo lilikuwa bao lake la kwanza akiwa na jezi ya Taifa Stars na...
Multichoice kununua filamu 52 mwaka wa fedha 2022/23 Kampuni ya Multichoice kupitia king'amuzi chake cha DStv, imetangaza kudhamini uandaaji wa filamu 52 na kuzinunua kwa mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamesemwa leo Jumatano Machi 30, 2022...
HISIA ZANGU: Hukumu yangu mastaa wanaomaliza mikataba Simba akazimika mechi zinazofuata. Staa huyu ambaye analilia kuchezea timu yake ya taifa ya Ghana hana sababu za kuisumbua Simba hasa ukizingatia pia kwamba hapo katikati aliwahi kuwaletea Simba...
Mastaa hawa timu zililamba dume TPL ) Ndiye kipa namba mbili wa Yanga nyuma ya Djigui Diarra, lakini tangu ajiunge na timu hiyo akitokea Mtibwa Sugar, Mshery ameonyesha kiwango bora katika mechi nne alizodaka akiwa hajaruhusu bao...
Yanga mechi moja tu kwisha kazi HESABU za Yanga ni kupata ushindi katika michezo mitano ijayo ikiwemo dhidi ya Azam na Simba ili ijiwekee mazingira rahisi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu. Lakini wakati Yanga wakiwa na...
Msuva aiokoa Stars na kichapo TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliomalizika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Katika mchezo huo...
Hivi ndivyo Kim anavyoipika Taifa Stars ijayo PENGINE ni kutokana na ubobezi wake kwenye uvumbuzi, kulea na kuendeleza vipaji vya vijana wadogo ndio maana imekuwa rahisi kwake kutoa nafasi kwa makinda kwenye kikosi cha Taifa Stars. Huyu ni...
Kiungo Uswiswi aitamani Stars na kukulia Italia, alisema wakati wa Mungu ni wakati sahihi zaidi kuna muda binadamu anaweza kupanga hivi na mambo yakawa vile. “Bado ninatumaini kuwa ipo siku nyingine ambayo siijui jina nitaitwa...
Opa aanza vibaya Uturuki MSHAMBULIAJI wa kike wa Kimataifa wa Tanzania, Opa Clement ameanza vibaya maisha yake ya soka Uturuki kufuatia chama lake la Yukatel Kayserispor kukumbana na vipigo viwili mfululizo kwenye...