PRIME Nabi avujisha faili la Wasauz, Fadlu ashindwe mwenyewe KUNA sababu tatu ambazo kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi amezitaja ambazo zinaipa Simba nafasi kubwa ya kuitoa Stellenbosch ya Afrika Kusini.
Lazaro aachiwa msala Coastal Union COASTAL Union iko sokoni kusaka kocha mpya wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao kutokana na aliyekuwepo Joseph Lazaro kutokuwa na leseni yenye uwezo wa kuongoza timu, lakini kwa sasa...
PRIME Aucho aitikisa Yanga, kocha Hamdi afunguka YANGA inajiandaa kushuka uwanjani Jumanne hii kuvaana na Stand United, huku kocha wa timu hiyo akifichua kuwa, kukosekana kwa kiungo wa kati Khalid Aucho, kwa muda wa wiki tatu ndani ya kikosi...
PRIME Aziz KI ahesabu siku Yanga SUALA la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI kuendelea kuwapo ndani ya kikosi hicho ni jambo la muda tu kuanzia sasa kutokana na matajiri wa Kiarabu kujipanga kumng’oa Jangwani.
DAKIKA ZA JIOOONI: Azam inavyotoka kwenye ramani AZAM FC inaendelea kupigania heshima yake, ambapo tumaini kubwa lililobaki sasa ni kumaliza katika nafasi ya tatu, ingawa kimahesabu bado inaweza kumaliza ya pili baada ya kuukosa rasmi ubingwa...
PRIME Sapraizi ya Aziz Ki KIPUTE cha leo pale Azam Complex kimeshikilia mambo mawili makubwa; mosi, ni je Yanga itashinda na kukomaa juu ya msimamo huku ikiipoteza kabisa Azam katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara au...
Kaseja mabosi wake wamemuelewa UONGOZI wa Kagera Sugar ya kocha Juma Kaseja, umesisitiza kwamba una imani na staa huyo aliyepewa timu hivikaribuni na tena walichelewa kumpa kazi hiyo.
PRIME Mo Dewji aweka kitita mezani Simba ikifuzu nusu fainali CAF MATAJIRI wa Simba wamewaachia wachezaji wao kuamua kuwapeleka Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kukutana na kufanya uamuzi ambao Bilionea, Mohammed Dewji MO ameweka mezani...
PRIME Ngoma afichua... Mkakati wa bao tatu SIMBA ina kibarua kizito Jumatano hii dhidi ya Al Masry huku ikifahamu kwamba ili kuvuka moja kwa moja kucheza nusu fainali, inapaswa kushinda kuanzia mabao 3-0.
PRIME Hamdi agawa dakika 270 KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, ameonekana kuridhishwa na safu yake ya ulinzi huku akizigawa dakika 270 zilizoleta matumaini makubwa.