Championship sasa kuna hesabu za vidole UKIPIGWA tu unaachwa. Ndivyo unaweza kusema kuelezea mtifuano ulivyo kwenye Championship baada ya kushuhudia mechi nane zilizochezwa, huku timu sita zikikimbizana kwa jasho kileleni.
Prisons Queens waisikilizia TFF BAADA ya kukabidhiwa majukumu kuiongoza Prisons Queens, Kocha Mkuu Shaban Mtupa amesema anahitaji kuweka historia kwa timu hiyo kucheza Ligi Kuu misimu miwili ijayo, huku akilisikilizia...
Geita Gold ina hesabu ndefu PAMOJA na kukubali kupunguzwa kasi kwenye Championship, Geita Gold imesema ni mapema sana kwa timu yoyote kutamba kupanda Ligi Kuu, ikieleza kuwa hesabu zao ni kushinda kila mechi na kusubiri...
Mastaa KenGold wajishtukia Bara LICHA ya kukiri matokeo kutokuwa mazuri, mastaa wa KenGold wamejishtukia na kusema njia mbadala ya kumaliza presha kikosini ni juhudi binafsi za mchezaji mmoja mmoja bila kukata tamaa.
Pazi aanika siri za makipa Bara ACHANA na ushindi wa kwanza wa Pamba Jiji walioupata jana ugenini, Kipa wa Fountain Gate, Fikirini Bakari anakuwa miongoni mwa makipa watano Ligi Kuu kufanya makosa ya kuzigharimu timu zao.
Mastaa KenGold kikaangoni WAKATI wadau na mashabiki wa soka nchini wakiitabiria kushuka daraja Ken Gold kutokana na matokeo waliyonayo, uongozi wa timu hiyo umesema unaenda kufanya maamuzi magumu bila kuangalia sura ya mtu.
Mwakyusa aliamsha Prisons BAADA ya kurejeshwa kikosini na kuisaidia Tanzania Prisons kushinda dhidi ya KenGold, kipa wa timu hiyo, Edward Mwakyusa amesema anataka kujihakikishia namba na kuisaidia timu kuendelea kufanya...
Mwalimu afichua siri ya kiwango chake, ashukuru kuitwa Stars Mabao matano katika mechi sita alizocheza yamemuamsha straika wa Fountain Gate, Seleman Mwalimu akielezea siri ya mafanikio yake huku akitamba kulinda nafasi yake kikosini na timu ya Taifa 'Taifa...
Prisons yafufuka Ligi Kuu ikiizima Fountain Gate Baada ya kusota katika mechi tano mfululizo bila ya ushindi, hatimaye Tanzania Prisons imeona mwezi kwa kuonja pointi tatu za kwanza kwa kuikanda Fountain Gate mabao 3-2.
Kipa Ken Gold amuota Chama LICHA ya matokeo wanayopitia Ken Gold, lakini kipa wa timu hiyo, Castor Mhagama amesema anaridhishwa na kiwango chake huku akimtaja kiungo wa Yanga, Clatous Chama kumpa wakati mgumu walipokutana...