Simba ilivyopoteza mabilioni ya CAF Ulikuwa ni msimu dume kwa Wekundu wa Msimbazi wakimaliza katika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Bara, kuishia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, kuondoshwa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Naupenda uzee wa Saido UZEE wa Saido Ntibazonkiza ni ‘uzee wa busara’. Utu uzima dawa. Ni ile maana halisi ya hakuna kijiji kinachokosa wazee.
PRIME MZEE WA KALIUA: Simba inahitaji watu wawili tu MOJAWAPO kati ya semi za Kiafrika ni ile inayosema kwamba “kama unataka kwenda mbali, nenda na wenzako na kama unataka kwenda haraka, nenda peke yako.”
Mtibwa pointi, Namungo nafasi, MECHI ya Mei 20, itakayopigwa Uwanja wa Namungo, Morogoro, itakuwa ya kusaka nafasi kwa Namungo kupanda nafasi za juu kwa Mtibwa Sugar kuongeza pointi hata ikishinda itasalia nafasi ileile...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kibu Denis ni mbadala wa Lomalisa? Huenda Kibu Dennis ndiye mchezaji Bora msimu huu mzawa wa Simba na ambaye akikosekana, watu wanashika kichwa.
Tshabalala awaachia msala wazawa Simba Simba kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa eneo gumu sana kwa wachezaji wazawa wanaosajiliwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuonyesha ubora. Wengi husajiliwa kisha baadaye...
Simba, Mtibwa lawama njenje Baada ya dakika 90 za mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Mtibwa Sugar itakayopigwa kesho Mei 3, 2024 kuanzia saa 10:00 jioni Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam lawama litakuwa jambo...
Championship ilikuwa ni msimu wa jasho na damu misimu miwili mfululizo akianza na 2021/2022 alipofunga mabao 16 na 2022/2023 akimaliza na 18 huku yote akiyafunga na kikosi cha Maafande wa JKT Tanzania. HAT-TRICK (5) Msimu huu...
Vituko vya wachezaji uwanjani Wakati mwingine wachezaji wanafanya vituko vya ajabu, hadi wao wenyewe wanajishangaa, pindi wanapopata utulivu wa kujitathimini baada ya majukumu yao, kuona walifanya vitu vya ajabu.
MZEE WA UBISHI WA KALIUA: Aziz KI anabeba tuzo hizi bila ubishi Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu. Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu anaangalia ulinganifu wa wachezaji wa Simba na Yanga. Bodi...