AKILI ZA KIJIWENI: Simba Queens ikubali kuanza upya KILE kichapo cha bao 1-0 ambacho Simba Queens imekipata kutoka kwa Yanga Princess Jumanne wiki hii kina ujumbe mkubwa kwenda kwa uongozi wa klabu ya Simba juu ya timu yao hiyo ya wanawake.
AKILI ZA KIJIWENI: Mnguto kaongea uhalisia wala tusishangae WANAOSHANGAA kauli ya Mzee wangu Steven Mnguto kwamba uendeshaji wa mpira wa miguu pia unahitaji busara na hekima ndio hapa kijiweni tunapaswa kuwashangaa maana sidhani kama kuna ambacho hawakijui.
Okwi akubali yaishe Uganda, Aucho kubeba mikoba Baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' kwa zaidi ya miaka 15, nyota wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu hiyo.
Hemed Morocco katika anga za Song, Cisse Baada ya kuiongoza Taifa Stars kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2024, kibarua kilicho mbele ya kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Morocco ni mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe...
Adebayor wa Singida BS atoswa Niger Winga wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor hatokuwa miongoni mwa nyota 25 wa Niger wanaoingia kambini wiki hii kujiandaa na mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Morocco.
Kumbukumbu sita kubwa za Magufuli michezoni Hayati Magufuli alifariki Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam kwa maradhi ya moyo, kifo kilichohitimisha miaka mitano ya utawala wake.
Marefa Tanzania watoswa Afcon 2025 Orodha ina marefa 17 wa kati, 18 wa pembeni na 10 ambao wataongoza teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR).
Ujumbe wa Karia CAF na maana yake JUMATANO Machi 12, mwaka huu, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia alifanikiwa kupigiwa kura za ndio zilizomuwezesha kuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka...
Raundi saba za presha vibonde Ligi Kuu Tanzania Bara Mambo yanaonekana kutokuwa mazuri kwa timu 10 ambazo bado hazina pointi za kuzifanya ziwe katika uwezekano salama wa kubakia katika Ligi Kuu ingawa timu sita zilizopo juu kwenye msimamo wa ligi...
AKILI ZA KIJIWENI: Minziro, Ahmad Ally wajihadhari MSIMU huu umekuwa na upepo ambao sio mzuri kwa makocha na hadi hapa akili za kijiweni zinapochakata kuna makocha kama 14 hivi wameondoka kwenye timu zao kwa kufungishwa virago.