Simba yaleta kocha Mreno MUDA wowote kuanzia wakati huu mabosi wa Simba wapo kwenye hatua za mwisho kumtangaza kocha mkuu mpya ambaye mchakato wake wa kumpata umekamilika na anasubiri tiketi ya ndege ili kutua nchini...
Makocha wawili kutambulishwa Simba wiki hii Dar es Salaam. Baada ya kikosi cha Simba kuwa na wachezaji wengi majeruhi, mabosi wa timu hiyo wapo kwenye hatua za mwisho kumshusha nchini kocha mpya wa viungo atakayekuja kuchukua nafasi ya...
Sakho, Banda waletewa fundi mpya Simba DILI linanukia. Simba itamtambulisha kocha mpya viungo aliyekuwa akifundisha kwenye nchi za Kiarabu na kabla ya wiki hii kumalizika.
Matola: Naondoka Simba KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amelithibitishia Mwanaspoti kwamba anaondoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo kwa muda akapige shule kidogo.
Zoran amvutia waya Okwa BAADA ya kuonyesha kiwango bora kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita michezo miwili hatua ya awali akiwa na Rivers United, Nelson Okwa dhidi ya Yanga aliwavutia mabosi wa Simba.
Simba yapata dawa mpya, Okrah ndani, Ihefu yapania KOCHA wa Simba, Juma Mgunda amesema upungufu ulioonekana kwenye mechi iliyopita dhidi ya Singida Big Stars (SBS) baada ya kuwakosa, Clatous Chama na Augustine Okrah hautakuwepo kwenye mechi ya...
Chama atuma ujumbe kwa mashabiki KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chama amesema wapenzi na mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa kutulia kwani ushindani wa Ligi Kuu Bara bado ni mkali licha ya kudondosha pointi tano hivi...
Kipa Singida: Mlitaka nifanyeje? KIPA wa Singida Big Stars, Abubakar Khomen amesema bao alilofungwa kwenye mechi dhidi ya Simba hata mfungaji, Peter Banda hakutegemea kama angeweza kuupiga ule mpira vile. Khomen alisema dhumuni...
Simba kushusha mshambuliaji Mghana MABOSI wa Simba chini ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ na benchi la ufundi wamekubaliana kufanya usajili wa kwanza mapema na haraka iwezekanavyo kabla ya dirisha...
Yanga yatinga makundi, kuvuna zaidi ya Sh500 milioni Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga imefuzu hatua ya makundi kwenye michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 ugenini. Yanga ilikuwa wageni wa Club Africain...