Samatta, Mo Salah walivyozibeba Tanzania, Misri Ligi Kuu England LIGI Kuu England ndiyo ligi pendwa zaidi duniani na imekutanisha mataifa mengi yakiwakilishwa na wachezaji wao.
Sichone aisikilizia Ligi Kuu Zambia MSHAMBULIAJI wa Trident FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Zambia, Mourice Sichone amesema tayari ameanza kupokea ofa kutoka Ligi Kuu nchini humo.
Kunihira, Mukandasyenga kwenye vita ya kiatu WASHAMBULIAJI Magret Kunihira wa Ceasiaa Queens na Jeaninne Mukandayyenga wanaingia kwenye vita ya ufungaji ambayo hadi sasa inaoenakana kuwania na Stumai Abdallah wa JKT Queens mwenye mabao 26...
Gets Program inazitaka pointi tisa WPL KATIKA kuhakikisha inasalia Ligi Kuu, Gets Program imeanza mipango ya kuzisaka pointi tisa zilizosalia, ingawa kocha wa timu hiyo, Aristides Ngowi amesema haitakuwa kazi rahisi.
Nestory Irankunda mambo magumu MAMBO yanaoneka kuwa magumu kwa winga mwenye asili ya Tanzania, Nestory Irankunda anayekipiga Grasshopper Club Zurich ya Uswisi kwa mkopo akitokea Bayern Munich.
Rekodi mbili zambeba Clara Saudia ZIMESALIA mechi mbili kumalizika kwa Ligi ya Wanawake Saudia, lakini Mtanzania pekee, Clara Luvanga anayekipiga (Al Nassr) ameweka rekodi mbili msimu huu akiwa na kikosi hicho.
ALLIANCE Girls inataka kubaki WPL ALLIANCE Girls ya mkoani Mwanza imesema haitaki mambo mengi Ligi Kuu ya Wanawake na inachokitaka ni kubaki tu msimu ujao.
Mnoga agonganisha mabosi England MWEZI mmoja kabla ya mkataba wake na Salford City ya England kutamatika mwezi ujao (Mei), beki wa kimataifa wa Tanzania, Haji Mnoga ameanza kuwachonganisha viongozi wa timu hiyo.
WPL vita ya ubingwa bado mbichi KAMA ulikuwa unajua bingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) amepatikana mapema basi mambo bado kabisa.
Sababu kiungo Simba Queens kutocheza zatajwa KIUNGO wa Simba Queens, Saiki Atinuke imefichuyka sababu za kukosa mechi zote za msimu huu hadi sasa ni majeraha na matatizo ya kifamilia.