Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Minziro akomaa na Mpole, ataja kinachomsumbua

    KIU ya mashabiki wa Pamba Jiji ni kumuona mshambuliaji, George Mpole akitupia mabao kama walivyomzoea. Kilio hicho kimemfikia Kocha Mkuu Fredy Felix ‘Minziro’ aliyeweka ahadi nzito ya kufufua...

  2. Minziro kufyeka wavivu Pamba Jiji

    PAMBA Jiji bado inajitafuta katika msimu wa kwanza wa kurejea katika Ligi Kuu Bara na sasa kocha wa kikosi hicho, Fred Felix ‘Minziro’ ameweka bayana atatembeza panga kufyeka wachezaji wote...

    Minziro Pict
  3. Winga Singida mambo freshi

    BAADA ya kuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kutokana na kuvunjika kidole, winga wa Singida Black Stars, Edmund John amerejea na yuko fiti kukiwasha kikosini na sasa amempa kibarua...

    Singida Pict
  4. Ditram Nchimbi ajipa muda Biashara United

    MSHAMBULIAJI wa Biashara United, Ditram Nchimbi amesema bado ni mapema kuikatia tamaa timu hiyo kwenye mbio za kupanda Ligi Kuu Bara huku akijipa muda katika kufunga mabao na kutwaa kiatu cha...

  5. Goti lamtibulia Chuku Tabora

    BEKI wa kushoto wa Tabora United, Salum Chuku atakuwa nje ya uwanja kwa kwa zaidi ya miezi minne akiuguza jeraha la goti alilolipata Septemba 14, mwaka huu, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi...

  6. Lufano bado yupo sana MZFA

    MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano ametetea nafasi hiyo, baada ya kupita bila kupingwa akipigiwa kura za ndio na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho, huku...

    Lufano Pict
  7. Geita Gold gari limewaka, Arusha kuna Dabi ya Monduli

    LICHA ya kuanza kwa kuchechemea katika Ligi ya Championship, Geita Gold imejipata na gari limewaka huku winga wa timu hiyo, Yusuph Mhilu akitoboa siri kuwa wachezaji wameelewa, kupata muunganiko...

    Geita Pict
  8. Maftah aipa Pamba watatu

    BEKI wa zamani wa Yanga na Simba, Amir Maftah amesema Pamba Jiji ilikosea hesabu zake kwenye usajili wa dirisha kubwa ambao anaamini haukuzingatia mahitaji ya kiufundi, bali msukumo wa kisiasa na...

  9. Mashujaa yaipiga mkwara Singida Big Stars

    KIWANGO kizuri ilichoanza nacho msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara ikiwa haijapoteza mchezo na kuvuna alama tisa, kimewafanya mabosi wa Mashujaa FC kupata jeuri na kutamba kwamba wanazitaka nafasi...

  10. Chama la Wana wapata mzuka

    Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga imeanza kwa kishindo Ligi ya Championship kwa kushinda mechi mbili na kuvuna pointi sita, huku wafungaji wa mabao mawili ya timu hiyo wameapa kuendelea...

Previous

Page 8 of 71

Next