SPOTIDOKTA: Umuhimu wa Fair Play na ushabiki ubora kwenye soka
KATIKA tuzo za TFF kwa msimu wa 2022-2023, kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza, alishinda tuzo ya Fair Play akiwapikunyota wenzake wa Msimbazi, Pape Osmane Sakho na Jean Baleke.