Huyu Morrison anavituko nyie! BAADA ya kuchwa kwa Benard Morrison katika msafara wa wachezaji 25 wa Simba ambao wameelekea Sudan kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merreikh SC, kumeibua kioja na kuanza...
CAF yaipa Stars kifuta jasho cha maana Licha ya kushindwa kufuzu hatua ya 16 bora ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023), timu ya taifa 'Taifa Stars' imefanikiwa kupata Sh1.2 bilioni baada ya kumaliza hatua ya makundi...
Simba yaanza na sare Morocco Kikosi cha Simba leo kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya AS FAR Rabat ya nchini humo na kumaliza kwa sare ya mabao 2-2. Simba ilipanga kucheza mechi tatu za majaribio katika kambi yao...
Simba yatozwa faini KLABU ya Simba imetozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la washabiki wake kurusha chupa tupu na zenye maji uwanjani na kusababisha mchezo wake dhidi ya Gwambina kusimama kwa zaidi ya dakika tatu...
Caf yalegeza kanunia za Corona CAF imesisitiza kwamba kanuni hizo mpya zimeanza kufanya kazi kuanzia Januari 15 mwaka huu.
Bao la Inonga lafunika BAO la kwanza lililofungwa jana na beki wa kati Henock Inonga, limeingia kwenye rekodi ya mabao ya haraka kufungwa kwenye Kariakoo Derby, akifuata nyayo za Emmanuel Okwi aliyefanya hivyo mwaka 2012.
Mbeya Kwanza yavuta kifaa Nkana KLABU ya Mbeya kwanza FC imefanikiwa kumsajili Salum Abdallah Chuku kutoka Nkana Red Devil FC ya nchini Zambia kwa mkataba wa mwaka mmoja. Siku chache zilizopita wageni hao wa Ligi Kuu Tanzania...
Yanga, Simba ulinzi kama wote kwa Mkapa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi limejipanga vyema kiusalama kuelekea kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga uliopangwa kuchezwa...
Paul wa P Square augua Corona Hali anayopitia Paul ambaye ni pacha mdogo iliwahi kumkumba kaka yake pia mwaka jana mwezi Juni ambapo yeye, familia yake (mke na mtoto) pamoja na wafanyakazi wake wawili wa ndani waligundulika...
Kocha Simba kutajwa Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umesema wiki hii utamtangaza rasmi mrithi wa Sven Vandenbroek pamoja na kocha wa makipa atakayechukua nafasi ya Muharami Mohamed. Simba inafanya mabadiliko kwenye...