Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

200 results for OMARY MDOSE :

  1. Simba, Tanzania Prisons mechi ya mtego

    KOCHA Fadlu Davids kesho ana kazi ya kuiongoza Simba kurekebisha ilipokosea mechi iliyopita itakapoikaribisha Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex...

    Prisons Pict
  2. PRIME Kwa hili la makocha... Wakubwa wamezoea

    KUNA msemo maarufu kwenye ulimwengu wa idara ya ufundi katika soka kwamba “makocha huajiriwa ili wafukuzwe.”

    Wakubwa Pict
  3. PRIME Wataalamu wafunguka ishu ya kadi Fountain Gate vs Simba

    KOCHA Fadlu Davids ameshindwa kuifikia rekodi ya Patrick Aussems ya kushinda mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu baada ya jioni ya jana kulazimishwa sare ya 1-1 na Fountain Gate iliyomaliza pungufu...

  4. Simba yabanwa, Yanga yakaa kileleni

    Sare ya bao 1-1 imeifanya Simba kushindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 44, moja nyuma ya vinara Yanga yenye 45.

  5. PRIME Simba, Fountain Gate mambo ni mawili tu!

    Matokeo ya mchezo wa kwanza Simba ilipokuwa nyumbani ilishinda 4-0 dhidi ya Fountain Gate kupitia wafungaji Edwin Balua, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua na Valentino Mashaka.

  6. Mzize, Dube wawasha moto Yanga ikifanya mauaji

    Ushindi huo wa 15 umeifanya Yanga irejee kileleni mwa msimamo ikifikisha pointi 45 baada ya mechi 17.

    New Content Item (1)
  7. PRIME Mzize, Dube kupewa kazi maalum, Yondani asubiriwa kwa hamu

    VITA ya bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga na timu inayoshika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi hiyo KenGold, itaamuliwa kibabe kesho kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Saalam.

    Yanga Pict
  8. PRIME Tabora United vs Simba ngoja tuone... Ugumu uko hapa

    NGOJA tuone leo itakuwaje pale ambapo Tabora United, vijana wa kocha Anicet Kiazayidi watakapokuwa wenyeji wa Simba inayonolewa na Fadlu Davids katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatolewa...

    New Content Item (1)
  9. PRIME Gusa achia yambeba Ramovic Yanga

    KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic wikiendi hii anaingia tena kibaruani kuiongoza katika mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar huku akiwa na silaha inayombeba zaidi katika falsafa...

    New Content Item (1)
  10. Dabi ya Cecafa kuhamia Morocco Afcon 2025

    TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa Kundi C katika michuano ya Afcon 2025 itakayofanyika nchini Morocco ikishirikisha timu 24.

Previous

Page 7 of 20

Next