Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

697 results for Victoria Melkiad :

  1. Goran aamua kubaki Tabora United

    ILE hofu waliyokuwa nayo mashabiki na wapenzi wa Tabora United kukimbiwa na kocha wa timu hiyo, Goran Kopunovic, imeisha baada ya kocha huyo kuamua kusalia kwenye kikosi hicho akizima uvumi wa...

  2. Yao aanza kunogewa Ligi Kuu Bara

    BEKI Muivory Coast anayeshika nafasi ya pili kwa asisti katika Ligi Kuu Bara, Yao Kouassi nyuma ya Kipre Junior wa Azam, ameanza kunogewa na sasa anasema anatamani kufanya makubwa zaidi kwenye...

  3. PRIME Kocha ASEC: Hatuzuii mchezaji kuondoka, ila...

    KOCHA wa Asec Mimosas, Julien Chevalier amesema hana kizuizi kwa supastaa wake Karamoko Sankara kwenda Yanga, lakini litakuwa pigo kwa timu yake. Yanga imekuwa ikitajwa kutaka saini ya...

  4. Pacome ajivunia kuitwa Afcon 2023

    BAADA ya kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua kujumishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa lake la Ivory Coast, kwanza ameishukuru Yanga kwa kumbeba. Pacome amejumuishwa kwenye kikosi hicho cha Tembo...

  5. Kocha ataka Maxi apumzishwe Yanga

    YANGA imeanza maandalizi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 inayoanza Alhamisi, huku safu yake ya ushambuliaji ikizalisha mabao mengi ikiongozwa na Stephane Aziz KI aliyefunga 10, lakini kuna...

  6. Manu Labota aitosa Yanga

    WAKATI mashabiki wa Yanga wakisubiri kwa hamu kumuona winga Mkongomani, Manu Labota Bola kutua katika kikosi cha timu hiyo, mambo yamebadilika ghafla baada ya mabosi wa Singida Fountain Gate...

  7. Tajiri Yanga awapa jeuri mashabiki CAF

    YANGA inashuka jioni ya leo kwenye Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, lakini wakimaliza watarudi kibaruani katika Ligi ya Mabingwa Afrika kuialika...

  8. PRIME Simba yamrudia tena Adebayor

    KIKOSI cha Simba kinatarajia kushuka uwanjani jioni ya leo Ijumaa kuvaana na Kagera Sugar, huku mabosi wa klabu hiyo wakirudisha hesabu zao kwa nyota wa zamani wa US Gendermarie ya Niger...

  9. PRIME Benchikha atanii amvuta mido Mchadi, Kanoute atibua mambo

    KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha hataki utani, kwani baada ya kukiangalia kikosi hicho alichoanza kukifundisha wiki mbili zilizopita amebaini anahitaji kiungo ‘mkata umeme’ wa kusaidia...

  10. PRIME Kumekucha ASFC, Simba, Yanga utata

    PAZIA la michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) hatua ya 64 Bora linafunguliwa leo kwa mechi tano tofauti, huku vigogo Simba na Yanga zikiwa kwenye utata wa kucheza mechi ndani ya mwaka...

Previous

Page 54 of 70

Next