Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

697 results for Victoria Melkiad :

  1. Pacome, Yao waliamsha, Gamond atoa msimamo

    MASTAA wa Yanga ambao hawapo katika timu zao za taifa zinazoshiriki fainali za Afcon 2023, akiwamo Pacome Zouzoua na Yao Kouassi wameliamsha kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mechi za Ligi...

  2. Pacome, Yao nje ya uwanja kumbe wapo hivi...

    USILOLIJUA ni kwamba kuna mastaa wa soka wanaofanya vizuri ndani ya Yanga na huwezi kuwakosa kwenye kikosi cha kwanza katika mechi muhimu, lakini wako pamoja hadi nje ya uwanja. Sio wengine ni...

  3. Blichi ya Pacome Sh100,000 kila wiki

    PACOME Zouzoua 'Zizzou' anaupiga mwingi uwanjani akiwa na kikosi cha Yanga, akiifungia mabao manne katika Ligi Kuu Bara na matatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mashabiki wakimtambua zaidi kwa...

  4. PRIME Winga mpya Yanga freshi, atolewa kwa mkopo DR Congo

    MABOSI wa Yanga wajanja sana, baada ya kulimaliza dili la winga hatari Mkongoman, Agee Basiala kutoka klabu ya AS Maniema ya DR Congo kwa kumsainisha mkataba wa awali, kisha kumtoa kwa mkopo...

  5. Pacome: Sasa mtauona moto

    KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua ‘Zizzou’ amefunga mabao manne na kuasisti moja katika Ligi Kuu Bara, huku akiwa na mabao matatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na amekuwa gumzo kwa kiwango...

  6. Kiungo Singida: Soka la Bongo ni la Simba na Yanga tu

    BAADA ya Singida Fountain Gate kuyaaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea kule Zanzibar baada ya kufungwa kwa penalti 3-2, kiungo wa kikosi hicho cha wauza alizeti, Morice Chukwu...

  7. PRIME Simba kumshusha kiungo aliyemkaba Cristiano Ronaldo

    SIMBA hii sasa sifa! Mabosi wa klabu hiyo kongwe ambayo usiku wa jana ilikuwa inamalizana na APR katika mechi ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2004, wameonyesha hawataki utani kwenye...

  8. Wataka kuuana kisa maandazi

    TIMU ya wafanyakazi wa Gereji na Madogo wa Tabata juzi kidogo wazichape kisa maandazi. Timu hizo zilikuwa na mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Kigogo na kutoka sare ya bao 2-2 na mwamuzi...

  9. PRIME Yanga yaizidi kete AS Vita usajili winga

    YANGA imeitibulia AS Vita ya DR Congo baada ya kuizidi kete kwa kumnyakua winga kutoka Union Maniema, Basiala Agee, jambo lililomfanya kocha wa kikosi hicho Raoul Shungu aseme ameumizwa kukosa...

  10. Kramo arejea Tanzania, afunguka hali yake

    KIUNGO mshambuliaji wa Simba aliyekuwa majeruhi, Aubin Kramo amerejea nchini akitokea Ivory Coast na fasta akapanda boti kwenda kuongeza mzuka kikosini mjini Unguja, Zanzibar. Kramo aliyekuwa...

Previous

Page 53 of 70

Next