Mambo matano dakika 90 za Hamdi Yanga KOCHA Miloud Hamdi, amezionja dakika 90 za kwanza akiwa benchi akiiongoza Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania.
Hamdi aongeza dozi Yanga, mastaa wakiona cha moto KATIKA kuhakikisha ile Gusa Achia Pro Max inafanya kazi ipasavyo, kocha mpya wa Yanga, Miloud Hamdi ameongeza dozi kwa mastaa wa timu hiyo.
PRIME Kumbe Diarra kamfunika hapa Camara KIKOSI cha Yanga jana jioni kilishuka uwanjani kuvaana na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini kipa namba moja wa kikosi hicho, Djigui Diarra alikuwa anaumiza kichwa kwa...
Hamdi abanwa jeshini, Yanga yaangusha pointi MBINU za makocha Ahmad Ally (JKT Tanzania) na Miloud Hamdi (Yanga) zimeonekana kutoshana nguvu katika dakika 45 za kwanza wakati timu hizo zilipopambana kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar.
Simba, Tanzania Prisons mechi ya mtego KOCHA Fadlu Davids kesho ana kazi ya kuiongoza Simba kurekebisha ilipokosea mechi iliyopita itakapoikaribisha Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex...
PRIME Kwa hili la makocha... Wakubwa wamezoea KUNA msemo maarufu kwenye ulimwengu wa idara ya ufundi katika soka kwamba “makocha huajiriwa ili wafukuzwe.”
PRIME Wataalamu wafunguka ishu ya kadi Fountain Gate vs Simba KOCHA Fadlu Davids ameshindwa kuifikia rekodi ya Patrick Aussems ya kushinda mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu baada ya jioni ya jana kulazimishwa sare ya 1-1 na Fountain Gate iliyomaliza pungufu...
Simba yabanwa, Yanga yakaa kileleni Sare ya bao 1-1 imeifanya Simba kushindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 44, moja nyuma ya vinara Yanga yenye 45.
PRIME Simba, Fountain Gate mambo ni mawili tu! Matokeo ya mchezo wa kwanza Simba ilipokuwa nyumbani ilishinda 4-0 dhidi ya Fountain Gate kupitia wafungaji Edwin Balua, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua na Valentino Mashaka.
Mzize, Dube wawasha moto Yanga ikifanya mauaji Ushindi huo wa 15 umeifanya Yanga irejee kileleni mwa msimamo ikifikisha pointi 45 baada ya mechi 17.