Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

171 results for Mwandishi Maalum :

  1. Nani yuko nyuma ya JKU, Uhamiaji?

    SAKATA la wawakilishi wa Zanzibar kwenye michuano ya kimataifa kuamua kuchezea mechi zao zote ugenini limeibua sintofahamu kwa wadau. Huku wakihoji ; "Nini kiko nyuma ya timu hizo?"

    New Content Item (1)
  2. Washindi CRDB Marathon kuvuna mamilioni

    WASHINDI wa Mbio za CRDB Bank Marathon 2024 zilizopangwa kufanyika Agosti 18 jijini Dar es Salaam, watazawadiwa jumla ya Sh 98.3 millioni.

    CRDB Pict
  3. Mikakati ya GBT katika mapambano dhidi ya mashine haramu za sloti ‘Dubwi’

    Michezo ya kubahatisha inajumuisha michezo ya aina mbalimbali ikiwemo Bahati Nasibu ya Taifa, kasino, michezo ya kubashiri matokeo (sports betting), michezo inayotumia jumbe fupi (SMS Lottery) na...

  4. Yanga yashtuka, Chama, Dube, Baleke waondolewa!

    YANGA ni kama imeshtuka vile. Baada ya kuiona Simba ipo kambini Ismailia, Misri na kusikia Azam FC nayo imeondoka nchini kwenda Morocco kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao, nao fasta...

  5. Ishu ya Beno tatizo ni msimamo

    ALIYEKUWA kipa wa Singida BS, Beno Kakolanya amemaliza utata, akisema misimamo yake imekuwa ikimponza kwa watu wakimchukulia kama mtovu wa nidhamu.

  6. PRIME Ibenge: Huyu Chama ni mtu sahihi

    KOCHA maarufu kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kaskazini anayeikochi Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amefafanua jambo kuhusiana na staa mpya wa Yanga, Clatous Chama.

  7. Tangulia Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda

    TAIFA liko msibani. Usiku wa juzi Ijumaa, saa 3:00 usiku alifariki dunia mmoja wa Watanzania walioweka alama ya pekee katika historia ya taifa letu, Balozi Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda (1938-39).

    New Content Item (1)
  8. PRIME RIPOTI MAALUM: Janga, Watoto katika uraibu wa michezo ya kamari

    KATIKATI ya eneo la Mwandege Magengeni, wilayani Mkuranga mita 20 tu kutoka msikitini, kuna kituo cha michezo ya kubahatisha kinachoonekana kuwa cha kawaida.

  9. Kanuni za Ligi zawakutanisha Simba, Yanga mara tatu 2024/25

    KANUNI za Ligi Kuu, zinalazimisha Yanga na Simba kukutana mara tatu msimu ujao ingawa inaweza kuwa zaidi ya hapo ikiwa zitafanya vyema katika mashindano mengine.

  10. Mandonga: Chakula cha buku hadi tv kila chumba

    MEI 12, mwaka huu bondia wa ngumi za kulipwa nchini na mpiga debe wa zamani wa Kituo cha Mabasi Msamvu mjini Morogoro, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ atakuwa akimaliza adhabu yake.

Previous

Page 6 of 18

Next