Gamondi: Tumeshajua dawa yao BAADA ya kikosi cha Yanga kuendeleza rekodi yake ya kushinda mabao mengi kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ametoa siri na mipango mizito waliyo nayo katika Ligi ya Mabingwa. Rekodi hizo...
PRIME Mama wa Job afichua siri ya mwanaye Yanga "Dickson alianza kutujengea nyumba tunayoishi akiwa Mtibwa, maana alipoanza soka la kulipwa aliniambia mama sasa ni muda wa kuhama hapa tunapoishi. Nilifurahi kuona soka linaweza kubadilisha...
PRIME Robertinho aichambua Simba ya Benchikha Zimepita siku 123 sawa na miezi minne tangu Kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' alipotimuliwa kazi Simba saa chache tangu timu hiyo ilipofumuliwa mabao 5-1 na Yanga katika pambano la Ligi Kuu...
Huu ndiyo uchungu wa mama kwa Kibabage kuitazama ila baada ya muda nikaitwa kuambiwa anaendelea kucheza,"anasema mzazi huyo. Anaongeza kuwa, "kiukweli kikimtokea kitu chochote cha kumuumiza natamani atoke apumzike kwanza...
Robertinho amtaja Pacome KOCHA wa zamani Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, aliyetimuliwa Msimbazi Novemba mwaka jana, baada ya kichapo cha mabao 5-1 ilichoopewa na Yanga, amevunja ukimya na kuzungumzia kilichomponza...
PRIME Kocha: Pacome na Chama? Naenda na huyu! BAADA ya kuibuka kwa maswali juu ya nani ni bora zaidi kati ya Pacome Zouzoua wa Yanga na Clatous Chama wa Simba, Kocha wa Asec Mimosas ya Ivory Coast, Juliet Chevalier amekata mzizi wa fitina...
Mjiandae! Freddy ana sapraizi yenu kwa Mkapa MASHABIKI wa Simba bado hawamuelewi vyema, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Michael Freddy Koublan aliyesajiliwa katika dirisha dogo kutokana na kushindwa kutupia mipira kambani tofauti na...
Aziz Ki: Huyo Guede bado kabisa, ngojeni! KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI, amesema moto alioanza nao Joseph Guede bado kabisa kwani anamjua ni mchezaji hatari linapokuja suala ya kucheka na nyavu, sema alikuwa akijitafuta...
Kapombe aanika ramani ya robo fainali CAF KIKOSI cha Simba kinajiandaa kushuka uwanjani usiku huu kumalizana na TRA ya Kilimanjaro katika mechi ya kiporo cha 32 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kabla ya kuigeukia...
Ngoma: Jwaneng? Waacheni waje Kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma amefunguka namna watakavyowachakaza Jwaneng Galaxy ya Botswana ikiwa ni mechi ya mwisho ya hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.