JIWE LA SIKU: Sio Freddy na Guede tu, hata hawa jamaa walichemka Bongo! HUKO mtandaoni na katika vijiwe vya kahawa, kuna mjadala mkubwa juu ya viwango vya nyota wapya wa Simba na Yanga waliosajiliwa kupitia dirisha dogo lililofungwa Januari 15 mwaka huu. Mjadala huo...
PRIME Robertinho: Huyo Kibu mnamkosea hapa! KOCHA Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameshtuka kusikia taarifa kwamba straika wa Simba, Kibu Denis ‘Mkandaji’ kwa sasa hapati namba katika kikosi cha kwanza na kufichua huenda benchi la ufundi...
Mambo manne yawatisha Ahly Dar Wakati Simba ikiingia chimbo visiwani Zanzibar kuweka kambi fupi ya maandalizi ya mechi za Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly Machi 29, wenzao wameanza kuingiwa...
Nabi afichua siri za Fei Chati ya ufungaji Ligi Kuu Bara inaonyesha wanaoongoza kwa kupachika mabao ni viungo ambao wote walishawahi kucheza timu moja msimu uliopita (Yanga) chini ya kocha Nasredine Nabi ambaye amefichua...
Pacome nyota imeng’ara Ivory Coast KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua amechaguliwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast, huku akienda kuziba pengo la Ibrahim Sangare anayeichezea Nottingham Forest ya Ligi Kuu England...
Saa 72 kuamua hatma ya Pacome, Yao WAKATI mashabiki wa Yanga wakizidi kuwa na presha baada ya kuumia kwa wachezaji wao imefahamika ripoti ya wachezaji hao wawili walioumia kwenye mchezo dhidi ya Azam, kiungo Pacome Zouzoua na beki...
Robertinho aanika faili la Waarabu SIMBA inarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, huku kocha wa zamani wa timu hiyo, Mbrazili Roberto Oliveira ‘Robertinho’...
Kocha Mfaransa aivusha Yanga nusu fainali HUKO kimataifa Yanga inaogopwa na ukitaka kujua hilo msikie Kocha Mkuu wa Asec Mimosas ya Ivory Coast, Julien Chevalier alichokisema baada ya droo ya mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Benchikha: Hawa Ahly tunao Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amerejea nchini kutoka kwenye mafunzo ya siku tano ya kuongeza ujuzi alionao, huku akitoa kauli inayoweza kuwapa mzuka mashabiki wa klabu hiyo, kwa kusema...
PRIME Mama Kibabage adokeza ishu ya Simba “Sijui kama aliwahi kutakiwa na Simba ila mimi nataka abaki hapo hapo alipo. Marafiki zetu ambao ni mashabiki wa Simba, huwa wananiambia timu yao itambeba siku moja katika utani, lakini natamani...