Washiriki Guru Nanak wamuenzi Pano WASHIRIKI wa mbio za magari ya Guru Nanak, wamemuenzi dereva Pano Calavria, aliyefariki dunia hivi karibuni, kutokana na jitihada zake za kuutangaza mchezo huo nchini na kuwa kivutio cha madereva...
Lina Tour yatibua kambi ya timu ya taifa TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Gofu, inaendelea na mazoezi kujiandaa na Mashindano ya Ubingwa wa Gofu Afrika, yatakayofanyika mjini Agadir Morocco, Novemba 28 hadi 30 mwaka huu.
Tanzania yatota Uganda ligi ya dunia T50 MAMBO ni magumu kwa Tanzania katika ligi ya dunia kwa Kriketi ya mizunguko 50 baada ya kipigo kikubwa cha mikimbio 209 kutoka kwa wenyeji Uganda, katika Uwanja wa Lugogo, jijini Kampala mwishoni...
Warundi wamo, sasa ni nchi tano Guru Nanak DEREVA kutoka Burundi, Imtiaz Din na msoma ramani wake Allen Rukundo ndiyo ingizo jipya katika mbio za magari za Guru Nanak zitakazofanyika Arusha Novemba 16 na 17 mwaka huu.
Chanika moto mkali Ligi ya Kriketi U19 MICHUANO ya Kombe la TCA kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 19 iliwasha moto kwenye viwanja viwili jijini Dar es Salaam ambako timu za Chanika Boys na Indian School zilitoka na ushindi mnono.
Kriketi Taifa yaifuata Italia IKIWA na matumaini ya kufanya vyema, timu ya taifa ya kriketi inaondoka leo kwenda Uganda kwa ajili ya mashindano ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia kwa kriketi ya mizunguko 50 yanayoanza nchini...
Amapiano yapiga hodi Guru Rally HOMA ya Guru Nanak Rally, ambayo ni raundi ya mwisho ya mbio za magari ubingwa wa taifa, inazidi kupanda huku washiriki wakizidi kujitokeza kabla ya mbio hizo kutimua vumbi Novemba 16 na 17 mwaka...
Kriketi T20... Dar yaibeba Malawi kufuzu kombe la dunia MALAWI ndio pekee iliyotoa upinzani mkali kwa Tanzania katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa kriketi ya mizunguko 20 ambapo Tanzania ilishinda kwa mikimbio 19 tu katika mchezo wake...
Neema, Vicky wafichua kinachowabeba Mchezaji wa timu ya taifa ya gofu wanawake, Neema Olomi ameiita michuano ya Lina PG Tour ni 'tanua mbavu' kwa wacheza gofu wanawake kwani inawalazimisha kutumia ujuzi na maarifa zaidi ili kufanya...
Lina Tour yamuenzi Malinzi uswahilini Madina Idd, Hawa Wanyeche na Angel Eaton, ambao waliiwezesha Tanzania kushika nafasi ya pili mara mbili na nafasi ya tatu mara moja katika mashindano ya ubingwa wa Afrika nzima kwa wanawake, ni...