Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

195 results for Kelvin Kagambo :

  1. TUONGEE KISHKAJI: 'Msanii wangu’ inavyowaponza wasanii wenye lebo

    WIKI hii Omary Ally Mwanga maarufu kama Marioo amemtangaza ‘msanii wake’ wa kwanza aliyemsajili kwenye lebo yake ya BadNation anayeitwa Stans.

  2. Sanaa zisizo na maadili ni kosa la mashabiki

    CHANELI moja kubwa ya TV nchini ilikuwa na kipindi fulani cha mahojiano cha kipekee. Ilikuwa inawauliza wasanii maswali yasiyohusu sanaa zao. Kwa mfano, anaweza akaletwa msanii wa Bongo Fleva na...

  3. TUONGEE KISHKAJI: Mandojo anatukumbusha nini maana kioo cha jamii

    KIFO cha mshkaji wetu Joseph Francis maarufu kwa jina la kisanii la Mandojo ni moja ya vifo vya wasanii vilivyonigusa sana kwa sababu sanaa ya muziki wa Mandojo na Domokaya nilikuwa naiheshimu.

  4. Ngoma nyingi za Bongo zinahamasisha ukatili

    MOJA ya sakata linalorindima Bongo kwa sasa linahusu video iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha msichana akifanyiwa ukatili wa kijinsi na wanaume watano.

  5. TUONGEE KISHKAJI: Mondi wengi magoli kuliko Diamond mmoja

    JANA usiku nimeota Diamond kaipigia simu menejimenti yake, kasema unajua nini? Nimechoka kukaa peke yangu huku juu. Nimechoka kuwa msanii ninayeubeba muziki wa Tanzania, nataka kufanya jambo la...

  6. TUONGEE KISHKAJI: Rema anavyofichua unafiki wa kibongo

    MSANII wa muziki kutoka Nigeria, Rema ameachia albamu yake ya kuitwa HEIS. Ni albamu fulani hivi yenye ngoma 11 zilizoshiba, lakini kwa upande wa Tanzania ngoma iliyozua gumzo zaidi kutoka katika...

  7. TUONGEE KISHKAJI: Ukweli kuhusu nguvu ya sanaa

    USISHANGAE ukichukua Watanzania 10 ambao hawajahi kufika Marekani hata siku moja, ukawaambia wakutajie namba ya simu ya dharura ya kupiga ukiwa Marekani, nane kati yao wakakwambia ni 911. Na...

  8. TUTUONGEE KISHKAJI: Tanzania haiko tayari kuwa na msanii wa kimataifa

    MSHKAJI mmoja maarufu kwenye mtandao wa twitter (X) anasema, ukiachana na ujinga, maradhi na umaskini Watanzania pia tunasumbuliwa na wivu, chuki na mapenzi.

  9. TUONGEE KISHKAJI: Pande mbili Chris Brown kucheza Komasava ya Diamond

    KATIKA mitandao ya kijamii Jumatano wiki hii ilikuwa ni siku ya Chris Brown na Komasava. Kwa nini? Kwa sababu msanii maarufu wa muziki wa Marekani kutoka maandishi matatu, USA, Chris Brown...

  10. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii wa miaka 15 ijayo watafanya remix ngoma gani?

    Niliposikia ngoma mpya ya Ay na Marioo ambayo ni remix ya wimbo wa zamani wa Ay ‘Yule’ kitu cha kwanza kuja kichwani kwangu ni swali la “Wasanii wa miaka 10, 15 ijayo watafanya remix ya nyimbo...

Previous

Page 5 of 20

Next