Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1172 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Simba wasilisahau kaburi la Magufuli Chato

    MIMI na wenzangu hapa kijiweni hatujui na hatuna uhakika kama Simba itatetemesha Afrika kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco ambayo itacheza nayo kwenye...

    KABURI Pict
  2. Simba V RS Berkane yanukia Kwa Mkapa

    Kama agizo la serikali litafanyiwa kazi kwa wakati, mechi ya marudiano ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na RS Berkane itapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Mei...

  3. PRIME Simba yatinga fainali CAFCC, sababu nzito yatajwa Afrika Kusini

    Sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch ugenini kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban Afrika Kusini leo Aprili 27, 2025 imeivusha Simba kwenda hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...

  4. AKILI ZA KIJIWENI: Kagera Sugar kilichobaki ni miujiza tu

    ILIKUWA suala la wazi wazee wa makarasha, KenGold wasingebakia Ligi Kuu Bara kwa vile walionyesha dalili nyingi za kurudi Championship.

    KAGERA Pict
  5. AKILI ZA KIJIWENI: Yanga ikibeba ndoo inapaswa kushukuru mno!

    Kwa hapa kijiweni tunaamini huu ni msimu ambao Yanga inauchukua ubingwa kwa staili ya kipekee inayopaswa kuwafanya mashabiki wake kumshukuru Mungu.

    YANGA Pict
  6. AKILI ZA KIJIWENI: Mzee Mangungu anastahili pongezi Simba

    MWINYI mmoja kutoka Kilwa sasa hivi anaweza kuwa miongoni mwa wanadamu wenye furaha sana pale ndani ya Simba kutokana na mwenendo mzuri wa timu hiyo.

    MANGUNGU Pict
  7. Simba yaichapa Stellenbosch, hesabu zinakubali

    Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, Simba bado ina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya fainali ya kombe...

  8. Kisa vurugu, CAF yaziadhibu MC Alger, Esperance

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetoa adhabu kali kwa timu za MC Alger na Esperance kutokana na vurugu za mashabiki, wachezaji na maofisa wao ugenini katika mechi za hatua ya robo...

  9. AKILI ZA KIJIWENI: Taoussi ana kazi kubwa Azam

    AZAM FC inaomba Mungu aijaalie ipate tiketi ya kushiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao, licha ya ushindani inaopata kutoka kwa Singida Black Stars hapo kwenye nafasi ya tatu ambako wapo.

  10. AKILI ZA KIJIWENI: Kaseja sasa ndo ameanza kazi Kagera

    SIKU za mwanzoni za Juma Kaseja ndani ya Kagera Sugar baada ya kukabidhiwa ukocha mkuu zilikuwa tamu sana kutokana na mwenendo mzuri ambao timu hiyo ilikuwa nao wakati kipa huyo wa zamani wa...

Previous

Page 5 of 118

Next