Franco aleta mafundi wawili, abadili posho kwa mastaa Simba
MWANASPOTI linajua kwamba kocha mpya wa Simba, Mhispania Pablo Franco Martine amesaini miaka miwili lakini akawatajia mafundi wanne.
Amewaambia viongozi anataka kocha wa makipa, wa viungo, kocha...