Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

692 results for Victoria Melkiad :

  1. Azim amvaa MO, Salim

    MFADHILI wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewatuliza mashabiki huku akiwasisitiza Mohammed Dewji na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah Mhene ‘Try Again’ kujitokeza hadharani kusema jambo.

  2. PRIME Straika la mabao Kotoko laingia rada za Simba

    SIMBA wako siriazi na mambo yanakwenda kimyakimya. Mwanaspoti linajua mpaka jana jioni kwa uchache ilishamalizana na majembe mawili. Lameck Lawi (Coastal Union) huyu ni beki. Serge Pokou (Asec)...

  3. MC ELIUD: Bila Sh3 Milioni humpati ng’o!

    MOJA kati ya kazi za sanaa zinazofanywa na watu wengi kwa sasa ni uchekeshaji, ambao kikawaida unaweza ukauchukulia poa, lakini wapo vijana wanaoishi, kuwa umaarufu na kutimiza malengo yao...

  4. PRIME Huko Simba Mafia wamerudi kazini, safu ya usajili yapanguliwa

    SIMBA imefanya maamuzi mazito. Tena kimyakimya. Imewarudisha kundini watu wanne muhimu ambao wanajua jinsi ya kufanya umafia kwenye usajili nchini Tanzania. Na ikawapa majukumu ya kusimamia shoo...

  5. PRIME Kumekucha...! Yanga yatorosha beki mkongo, yampa miwili

    NI rasmi sasa kwamba beki Mkongomani Chadrack Boka ni mali ya Yanga. Mwanaspoti limejiridhisha kwamba staa huyo amesainishwa mkataba wa awali wa miaka miwili mjini Lubumbasha, juzi. Kama hilo...

  6. PRIME Simba mpya Mgaboni, Matampi

    Owono ambaye anaitumikia FC 15 de Agosto de Akonibe ya Guinea, ndiye kipa bora pia kwenye Ligi Kuu nchini humo akiwa na clean Ssheet 14 msimu huu.

  7. Matampi atoa siri ya kumpiku Diarra

    Mkongomani huyo huu ni msimu wake wa kwanza kuchezea Coastal Union akitokea Jeunesse Sportive Groupe Bazano ya Congo.

    New Content Item (2)
  8. Matampi amfunika Diarra 'clean sheet' Ligi Kuu

    MKALI wa kulinda nyavu 'clean sheet' katika Ligi Kuu Bara msimu huu ameibuka kuwa kipa Ley Matampi wa Coastal Union baada ya kumaliza akiwa nazo 15 ukiwa ni msimu wake wa kwanza katika mashindano...

  9. Pacome afunguka yaliyomkwamisha Yanga msimu huu

    KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameweka wazi kilichomuumiza na kumkwamisha msimu huu katika kupambana kufikia malengo aliyojiwekea.

  10. Stars kambini bila mastaa Yanga

    KIKOSI cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kitakachocheza mechi ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kimeitwa kambini, lakini wachezaji wa Yanga watachelewa kujiunga nacho.

Previous

Page 39 of 70

Next