De Jong ni kama aziita timu kijanja STAA wa Barcelona, Frenkie de Jong amefichua kile ambacho kitamfanya ahame kwenye timu hiyo ikiwa ni miaka miwili na nusu imepita tangu alipogoma kujiunga na Manchester United.
Ashley Young, mwanawe kuweka rekodi mpya England leo Leo usiku huenda ikatimia ndoto ya Ashley Young na mwanawe Tyler Young ya kuweka rekodi ya kucheza timu tofauti katika mechi moja pale Everton itakapokutana na Peterborough United kwenye michuano...
Ten Hag anukia AS Roma MANCHESTER, ENGLAND: KOCHA wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag ameripotiwa kuwa katika hatua nzuri kujiunga na AS Roma ikiwa ni wiki kadhaa tangu alipofungashiwa virago Oktoba, 28. Ten...
Banchero alivyorudi kwa kishindo NBA KATIKA mchezo wake wa kwanza tangu Oktoba 30, mwaka jana alipokosekana kutokana na majeraha ya misuli, Paolo Banchero amerejea kwa kishindo katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) akifunga alama 34...
Kocha Amrouche yu wapi? ADHABU ya mechi nane alizoadhibiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Adel Amrouche kwa kosa la kutoa shtuma nzito dhidi Shirikisho la Soka la Morocco (RMFF) ni kama imeisha, lakini...
Dodoma yawaita Walibya mezani DODOMA Jiji imegoma kumuachia kirahisi mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Paul Peter aliyekuwa akitakiwa na Al Dahra ya Libya na kuwaita mezani Waarabu hao wakiwa na mzigo wa maana kama kweli...
PRIME Prisons kunani? Manahodha wachomolewa! KUNANI Tanzania Prisons? Licha ya kuletwa kocha mpya, Aman Josiah habari ya kushtua ni kuona wakongwe wa timu hiyo wakiondolewa.
Vinicius JR ajifariji na tuzo ya Fifa Mshambuliaji wa Real Madrid na Brazil, Vinicius JR amefichua kuwa amepitia katika nyakati ngumu hadi kufikia hatua ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia 2024 ya shirikisho la mpira wa miguu...
Aliyekuwa CEO Simba ageuka lulu Rwanda Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Francois Regis, ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya michezo Rwanda.
Karia atoa msimamo ombi la simba, yanga RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesisitiza kuwa ni jambo la busara na hekima kuheshimu katiba inayoziongoza klabu zote nchini zilizopo chini ya mwamvuli wa shirikisho hilo.