Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

691 results for Victoria Melkiad :

  1. CAF yairudisha tena Yanga Dar

    KAMA ambavyo Mwanaspoti liliwahabarisha wiki iliyopita kwamba, Yanga huenda ikalainisha mambo katika Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya Vital’O ya Burundi, ndivyo ilivyo baada ya Shirikisho la Soka...

  2. Miguel Gamondi azuia dili la Maxi Nzengeli

    KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ni kama amefunga mjadala juu ya dili la Maxi Nzengeli anayetajwa kutakiwa na Kaizer Chiefs akisema hakuna mchezaji yeyote wa kikosi hicho atakayeondoka, huku...

  3. Mfaransa: Kwa Ahoua mtajuta

    KIUNGO mpya wa Simba, Jean Ahoua ameanza balaa huko Misri akipiga bao mbili kwenye mchezo wa kwanza wa kirafiki wa wekundu hao, na kocha mmoja Mfaransa akatuma salamu kwa wapinzani.

  4. Boka ashusha presha Yanga

    BEKI mpya wa Yanga, Chadrack Boka amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo baada ya wikiendi iliyopita kupata maumivu katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Augsburg ya Ujerumani, huku akifichua...

  5. Kiungo mpya Simba aitingisha Yanga SC

    KIUNGO mpya wa Simba, Augustine Okejepha, amefungukia mipango mikali aliyonayo msimu ujao, akieleza namna makocha wanavyokoleza moto kambini, huku akituma salamu Yanga akisema “subirini muone.”

  6. Pacome, Aziz KI watoa msimamo Yanga

    VIUNGO washambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua na Stephane Aziz KI wamezungumza usajili mpya wa kikosi hicho, huku kila mmoja akitoa msimamo wake, lakini wote kwa nyakati tofauti wakiwataja Jean...

  7. Lomalisa alia na mabosi Yanga

    LICHA ya kupata dili la kuichezea G.D. Sagrada Esperanca ya Angola, beki wa kushoto aliyeachwa Yanga, Joyce Lomalisa amelia na mabosi wa klabu hiyo ya Jangwani kwa kumwekea kauzibe kupata ofa...

  8. Siri yafichuka Yanga, Pacome apewa siku tano

    BAADA ya sintofahamu ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kutoongozana na kikosi cha timu hiyo kwenda Afrika Kusini, Mwanaspoti linafichuliwa sababu iliyomfanya asiwe sehemu ya kikosi...

  9. Prince Dube ambakisha Musonda Yanga

    MSHAMBULIAJI Kennedy Musonda bado yupo Yanga baada ya kujumuishwa kwenye kikosi cha msimu ujao, huku mshambuliaji mpya Prince Dube akitajwa kuhusika.

  10. Dili jipya la Lawi hadharani

    Wakati Simba ikiondoka nchini juzi kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao bila Lameck Lawi, taarifa ikufike nyota huyo wa Coastal Union yupo zake bize akipambana kukamilisha safari...

Previous

Page 36 of 70

Next