Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

690 results for Victoria Melkiad :

  1. Awesu, Kagoma waiponza Simba

    ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya waliosajiliwa na Simba, Awesu Awesu, Yusuf...

    Awesu Pict
  2. Dube bado haamini kilichotokea!

    BAADA ya kutoa asisti ya bao pekee katika derby Yanga na Simba Juzi mechi ya pili ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii, mshambuliaji mpya wa kikosi hicho Prince Dube amefunguka kuwa haamini kama...

  3. Rekodi za Simba, Yanga Ngao ya Jamii

    Mara ya kwanza zinaanza kuchezwa mechi hizo, Yanga iliichapa Simba mabao 2-1, wafungaji wa Yanga ni Edibily Lunyamila na Ally Yusuph 'Tigana' huku la Simba likifungwa na Steven Mapunda 'Garincha'.

  4. Pacome: Nyie subirini

    KUELEKEA katika mechi ya dabi itakayochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua amefunguka kuhusu mwanzo wake mpya.

  5. Simba mpya yamshtua Gamondi, afunguka haya

    Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana Agosti 8, mwaka huu katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kuelekea ufunguzi wa msimu wa 2024-2025.

  6. Rais Samia, Dk Mpango wasimamisha utambulisho 

    WAKATI utambulisho wa wachezaji ukiendelea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wasitisha zoezi hilo na kuzungumza na wananchi.

    Rais Pict
  7. Mtoto wa Manji atua kwa Mkapa

    UNAWEZA kusema mtoto wa nyoka hazai kuku, kwani mtoto wa aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa Yanga, Mehboub Manji ametua Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia Tamasha la Wiki ya Mwananchi.

    Manji Pict
  8. Mastaa Yanga wamsha shangwe wakitinga Kwa Mkapa

    KIKOSI cha Yanga kimetinga ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, kikiwa kimevaa simpo tu, tofauti na miaka ya nyuma lakini kikiamsha shangwe kwa mashabiki walioujaza uwanja huo katika Tamasha la...

    Mastaa Pict
  9. BillNass aingia kitofauti kwa Mkapa 

    MSANII wa kizazi kipya ‘BillNass’ atua kivingine katika uwanja wa Benjamin Mkapa huku akitoa burudani ili washangaza mashabiki.

    Bill Pict
  10. Yanga noma, yatawala kila kona

    YANGA imeendelea kufanya vizuri kila kona baada ya kikosi hicho cha Maveterani kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Wasanii, katika mchezo wa utangulizi kwenye kilele cha wiki ya...

    Noma Pict
Previous

Page 34 of 69

Next