Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

689 results for Victoria Melkiad :

  1. MVP Simba awatoa hofu mashabiki

    BAADA ya Simba kuanza Ligi Kuu Bara kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, kiungo wa mpya wa kikosi hicho, Ahoua Charles amewatoa hofu mashabiki wao akisema hana presha na kiwango...

  2. KMC yaikamua Simba Sh100 Milioni

    WALIOSEMA hakuna mkate mgumu mbele ya chai wala hakukosea, kwani baada ya mikwara mingi ya kudai kumzuia kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoenda kokote, KMC imemuachia nyota huyo, lakini ikivuna...

  3. Gamondi apiga biti mastaa Yanga mapema

    IKIWA imesalia siku moja tu, kabla ya Yanga kushuka uwanjani kuvaana na Vital’O ya Burundi katika mechi ya awali ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha wa kikosi cha wananchi...

  4. Hawa nao kuliamsha Ligi Kuu Bara 2024/25

    MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara unaanza rasmi leo kila timu ikianza hesabu mpya ikiwania pointi 90 za michezo 30 inayopatikana ndani ya msimu mmoja.

  5. Simba, Awesu ngoma nzito, mchongo mzima uko hivi!

    KAMA wewe ni shabiki wa Simba na ulikuwa unachekelea usajili wa kiungo mshambuliaji fundi kutoka KMC, Awesu Awesu pole yako, kwani dili la nyota huyo wa zamani wa Azam na Madini limebuma na jana...

  6. Gamondi apewa ramani kwa Pacome mjipange

    IKIWA imebaki siku moja tu kabla ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025 kuanza, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua amesema ajipanga kivingine kulinda kibarua alichokianza tangu msimu...

  7. Mastaa Yanga kulamba Sh150 milioni

    MOTO waliouwasha Mabingwa mara tatu mfululizo umewaka baada ya kubeba Mamilioni waliyoahidiwa kama wangeichapa Simba na Azam FC katika michuano ya Ngao ya Jamii.

  8. Bao sasa mwendo wa kimataifa

    NDOTO za Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Mwl JK Nyerere kutaka kuona mchezo wa bao ukifika anga za kimataifa sasa imetimia, hayo yakisemwa na Rais wa Shirikisho la mchezo huo, Monday Likwepa.

  9. Boka, Yanga sasa kimeeleweka Yanga

    BEKI mpya wa kushoto wa Yanga, Chadrack Boka sasa kila kitu freshi Jangwani baada ya mabosi wa klabu hiyo kumalizana kabisa na FC Lupopo aliyokuwa akiichezea kwa kuwapa mamilioni ya fedha ambayo...

  10. Awesu, Kagoma waiponza Simba

    ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya waliosajiliwa na Simba, Awesu Awesu, Yusuf...

    Awesu Pict
Previous

Page 33 of 69

Next