Simba waja na akili mpya MABOSI wa Simba wamekutana wameweka mipango mizito kwenye michuano ya Shirikisho Afrika huku wakisisitiza; “Tunaitaka robo fainali.” Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu hiyo, Said Salim ‘Try Again’...
Simba, Mbeya kwanza itashangaza! WATETEZI wa Ligi Kuu Bara, Simba baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 katika mechi iliyopita dhidi ya Tanzania Prisons, leo inarejea uwanjani kukamilisha mechi za duru la kwanza kwa kuvaana na...
Mkude aongeza mzuka Simba KURUDI kwa kiungo Jonas Mkude aliyekuwa majeruhi, kumempa mzuka kocha mkuu wa Simba, Pablo Franco aliyesisitiza kikosi chake kimekuwa kikibadilika kila mara kulingana na aina ya mpinzani...
Wapinzani wa Simba wapagawa, wapigwa stop na CAF HATA kabla haijatia mguu uwanjani kwenye mechi za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho, Simba imekumbana na zali la aina yake kutoka kwa Shirikisho la Soka la Africa(CAF). Simba ipo kundi D...
Fei Toto kuiwahi Mbeya City KIUNGO fundi wa mpira anayekipiga Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amevunja ukimya baada ya kuwa nje ya uwanja kutokana na majeraha akiwatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo kuwa bado kidogo...
Mastaa Simba watoa azimio zito, Chama aeleza HAINA kufeli, ndiyo tamko walilotoka nalo Simba katika kikao cha wachezaji peke yao walichokaa chini ya manahodha wao kikilenga kubadili hali ya mambo na kutetea taji lao la Ligi Kuu Bara kwa...
Pablo aipiga kijembe Yanga hatumo kwenye ubingwa. Subirini muone!” Kwa misimu minne mfululizo iliyopita, Yanga ilikuwa ikiongoza msimamo kwa muda mrefu, lakini ikajikuta ikizidiwa ujanja mwishowe na Simba kutokana na misimu...
Mwenye Yanga yake karudi, Fei Toto nje mwezi SIKIA hii. Mshindani mkubwa wa Aishi Manula wa Simba ni Djigui Diarra wa Yanga anayerejea leo Jijini Dar es Salaam akitokea kwenye Afcon ambako timu yake ya Mali ilitolewa hatua ya 16 Bora. Tangu...
Mugalu: Napitia kipindi kigumu CHRIS Mugalu alimaliza msimu uliopita na mabao 15 akishika nafasi ya pili ya wafungaji bora nyuma ya John Bocco, lakini msimu huu straika huyo mambo yamekuwa magumu kwake na kukiri kuwa anapitia...
Aishi, Onyango katikati ya mtego Simba ACHANA na mzigo mzito walionao kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa, mastaa wa Simba, Aishi Manula na Joash Onyango misimamo yao ya kimasilahi huenda ikawatoa jasho vigogo wa Msimbazi siku chache zijazo.