Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1659 results for Daudi Elibahati :

  1. Kocha awaka, kisa kipa wa Azam

    KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amewaka na kusema ushindi iliyoupata timu hiyo juzi dhidi ya Azam FC, haukutokana na makosa ya kipa wa Wanalambalamba kama inavyosemwa na...

  2. Kitasa chanukia Fountain Gate

    Fountain Gate iko hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki na nahodha wa Coastal Union, Jackson Shiga ili kuongeza makali ya safu ya ulinzi, ikiwa ni pendekezo la kocha mkuu...

  3. Kagera yaanza na winga teleza

    KLABU ya Kagera Sugar iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa winga wa Singida Black Stars, Edmund John kwa mkopo wa miezi sita, baada ya nyota huyo kupitia changamoto ya kukosa...

    Kagera Pict
  4. PRIME Yanga yaitingisha Mazembe, mabeki wawili wakitajwa

    MSAFARA wa kikosi cha Yanga wenye wachezaji 25 kimeondoka mchana wa leo kwenda Lubumbshi, DR Congo, tayari kwa ajili ya mechi ya tatu ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi TP Mazembe, huku...

    Mazembe Pict
  5. PRIME Simba, Coastal zatupiwa mpira sakata la Lawi

    LILE sakata linalomhusu beki wa Coastal Union dhidi ya klabu ya Simba limechukua suira nyingine baada ya leo Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukutana...

    Lawi Pict
  6. Mido ya boli yatua Namungo

    KIUNGO wa Singida Black Stars, Najim Mussa anakaribia kujiunga kwa mkopo Namungo baada ya makubaliano ya pande mbili baina ya nyota huyo na klabu.

  7. Karabaka aingia anga za KMC

    MABOSI wa KMC wapo katika mazungumzo ya kupata saini ya nyota wa Simba, Salehe Karabaka kwa mkopo wa miezi sita baada ya kutokuwa na uhakika wa kucheza kikosi cha kwanza cha timu hiyo chini ya...

  8. Okejepha afunguka kuhusu Osimhen, Lookman

    KIUNGO mkabaji wa Simba, Augustine Okejepha ameanza kufurahia maisha ndani ya kikosi hicho tangu asajiliwe msimu huu akitokea Rivers United ya kwao Nigeria, huku akiweka wazi amekuja nchini...

  9. Fountain Gate yawinda straika Zenji

    KLABU ya Fountain Gate iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa nyota wawili, beki wa kati Shabani Pandu Hassan na mshambuliaji Mudrik Abdi Shehe 'Gonda' kutokea JKU ya visiwani...

    Fountain Pict
  10. PRIME Yanga yazipiga bao Simba, Azam FC

    KIKOSI cha Yanga ambacho juzi usiku kilipoteza tena mechi ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufumuliwa 2-0 na MC Alger ya Algeria, imezipiga bao Simba na Azam zinazochuana nao katika...

    Yanga Pict
Previous

Page 33 of 166

Next