Raizin Hafidh kiroho safi Mtibwa MSHAMBULIAJI wa Mtibwa Sugar, Raizin Hafidh amesema endapo dili lake la kujiunga na Kagera Sugar litakwama dirisha hili, atakichezea kikosi hicho kiroho safi ili kukipambania kurejea tena Ligi...
CAF Diploma A ya Ivo ipo USA, Poland NYOTA wa zamani wa Yanga, Simba na Azam FC, Ivo Mapunda amesema kwa sasa anaachana na soka kwa muda ili apate nafasi ya kurejea tena darasani kwa ajili ya kuongeza elimu, itakayomfanya kupata...
Mkongomani akomalia mastaa Tabora United KOCHA wa Tabora United, Anicet Kiazayidi amesema kikosi hicho kiko katika mwelekeo mzuri ingawa ana kazi kubwa ya kufanya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kutokana na ushindani mkubwa uliopo.
Taoussi ashtukia jambo Azam FC KASI ya Simba na Yanga katika Ligi Kuu Bara katika mechi za hivi karibuni Lihi Kuu Bara, imemshtua Kocha wa Azam, Rachid Taoussi na kuwataka mastaa wake kutofanya makosa kwenye mechi zijazo ili...
Shaban Chilunda aingia anga za KMC UONGOZI wa KMC uko katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Shaaban Idd Chilunda baada ya kocha Kally Ongala kutoridhishwa na eneo hilo katika michezo 15 ya...
Messi wa Tanga anukia Namungo KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa winga wa Coastal Union, Issa Abushehe ‘Messi’, baada ya nyota huyo kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja na miezi...
Mrundi arejea kivingine Namungo BEKI mpya wa Namungo, Mrundi Derrick Mukombozi amesema amejisikia fahari kucheza tena mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara juzi dhidi ya JKT Tanzania, huku akiweka wazi ana kazi kubwa ya...
Mtenje atimkia Fountain Gate Dodoma Jiji imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na aliyekuwa kiungo mkabaji wa kikosi hicho, Mtenje Albano, huku taarifa zikieleza nyota huyo yuko katika hatua za mwisho za kujiunga na...
PRIME Wakongo waharibu mpango Yanga, watia mkono WAKATI Yanga ikiwa na mpango wa kumsajili beki wa kati kutoka Zanzibar, ghafla mabosi wa AS Vita Club ya DR Congo wameibuka na mkakati wa kuhakikisha wanainasa saini ya nyota huyo ili...
KenGold yashusha majembe KICHAPO cha mabao 2-0, ilichokipata KenGold juzi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kimezidi kuwaamsha mabosi wa timu hiyo, ambayo kwa sasa inapambana kukinasua mkiani baada ya...