Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Kiungo fundi ayeyuka Simba

    MABOSI wa Simba walishakamilisha kila kitu hadi kwenye masuala ya kimaslahi kuhusu dili la kumsajili kiungo wa ulinzi wa Geita Gold, Kelvin Nashon na kilichokuwa kimebaki ni utekelezaji tu...

  2. Simba hiyoo Dubai, MO Dewji amwaga manoti

    KIKOSI cha Simba, jana kiliwasili jijini Dar es Salaam kikitokea Zanzibar ilikotolewa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2023 na fasta mchana wa leo itakwea pipa kwenda kambi ya wiki moja...

  3. Mbrazili Simba kuleta mashine mbili

    JANA Simba ilivuka Bahari ya Hindi kwenda Zanzibar kucheza michuano ya Kombe la Mapinduzi 2023, huku mabosi wa klabu hiyo wakijipanga kuwafanyia sapraizi mashabiki kwa kumtambulisha kocha mkuu...

  4. Dili la N’Diaye laingia mdudu, Mbrazil kutua Simba

    MABOSI wa Simba bado wanazidi kukuna kichwa juu ya mchakato wa kusaka kocha mpya, baada ya kubainika ni ngumu kumleta nchini Msenegal, Lamine N’Diaye kutokana na dili hilo kuingia mdudu na sasa...

  5. Saido apewa kazi tatu Simba SC

    KWA kiwango alichokionyesha mazoezini, kiungo mpya wa Simba, Saido Ntibazonkiza leo Ijumaa ana nafasi kubwa ya kuanza kikosini wakati timu hiyo ikiikaribisha Tanzania Prisons katika Ligi Kuu...

  6. Saido akiwasha huko Simba aiwinda Prisons

    MASHABIKI wa Simba juzi walikatwa stimu baada ya kushindwa kumuona uwanjani kiungo fundi wa mpira aliyesajiliwa kutoka Geita Gold, Saido Ntibazonkiza aliyeishia kukaa jukwaani wakati timu hiyo...

  7. Ajibu atua Singida kishua

    MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Big Stars, Ibrahim Ajibu baada kupewa stahiki zake zote na uongozi wa timu hiyo uliomsajili kwa mkataba wa miaka miwili, alijiunga na kikosi asubuhi ya jana. Ajibu...

  8. Mkataba wa Saido Simba kufuru

    MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Saido Ntibazonkiza kabla ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumia timu hiyo kulikuwa na masharti kwa upande wake na uongozi kila mmoja akiweka wazi kile...

  9. Kaburu: Ebu subirini muone

    WAMEFYEKWA. Ndivyo ilivyo baada ya Kamati ya Uchaguzi ya Simba, juzi Jumapili kutoa orodha ya majina 14 ya wagombea waliopitishwa katika mchujo wa kwanza wa usajili, huku vigogo Geofrey Nyange...

  10. Simba yaleta kocha mpya, Mreno ayeyuka

    SIMBA hatanii. Kwani baada ya kumpeleka jijini Mwanza, aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo waliye mbioni kumpandisha daraja kuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Seleman Matola, mabosi wa klabu hiyo wapo...

Previous

Page 4 of 89

Next