Rais wa RT akemea wababaishaji raidha RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Silas Isangi amewaonya viongozi wa vyama vya mikoa wasiowajibika na kusisitiza hawafai kuendelea kuongoza.
Mikoa mguu sawa, Riadha Taifa ikifunguliwa kesho Mikoa imetambiana kutwaa ubingwa wa riadha kwenye mashindano ya Taifa yanayofunguliwa kesho Ijumaa jijini hapa.
Usalama wa watoto kwenye viwanja vya michezo Katika viwanja vya michezo nchini, mchezo wa mpira wa miguu una nafasi ya pekee katika nyoyo za Watanzania.
CRDB Bank Marathon ilivyonoga Dar NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko ameipongeza taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kuendelea kuandaa mbio za CRDB Bank Marathon ambazo zimejielekeza katika kusaidia jitihada...
Kazi imeanza Kizimkazi Festival NI michezo, burudani, uchumi na fursa mbalimbali za kijamii katika tamasha la nne la Kizimkazi linalofunguliwa leo Jumapili na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi huko...
Bodi ya Ngumi Uingereza kuwanoa Watanzania wawili Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa, Amos Mwamakula na aliyekuwa kocha wa mabondia wa kike nchini Comoro, Halina Abdallah Ally wamepewa fursa ya kujifunza namna ya kuwahudumia mabondia wanaopata...
Kete ya Mwisho ya medali kwa Tanzania Olimpiki 2024 Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu.
Visura 13 kuwania taji la Miss Ilala 2024 WAREMBO 13 wanatarajiwa kuonyeshana kazi wakati wa shindano la kuwania taji la Miss Ilala 2024, litakalofanyika Agosti 16 kwenye Ukumbi wa Warehouse, Masaki huku wakipania kufanya vizuri na...
WA ilivyoenzi rekodi za Bayi Makumbusho ya Dunia REKODI za nguli wa riadha nchini, Filbert Bayi zimepewa heshima ya kuwa katika Jumba la Makumbusho la Riadha ya Dunia, huku vifaa alivyokimbilia nyota huyo wa mbio za kati vikionyeshwa katika...
Olimpiki 2024... Mlugu ana dakika 20 kuipa Tanzania medali PAZIA la Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki linafunguliwa leo kwa judoka, Andrew Mlugu kuchuana katika hatua ya 32-Bora.