Chirwa bado haamini kilichomkuta Ligi Kuu msimu huu MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Obrey Chirwa bado haamini alichokutana nacho msimu huu wa Ligi Kuu Bara akisema ni mgumu kwake kutokana na kucheza timu mbili ngumu tofauti na zote kuwa katika...
Matokeo ya Azam yamliza Saadun KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amekiri licha ya ubora wake binafsi, lakini kama timu wameshindwa kufikia malengo waliyojiwekea msimu huu na kuondolewa mapema katika mbio za ubingwa wa...
PRIME Yanga kuna kazi nzito, saba kufumua kikosi 2025/26 YANGA inafanya mambo yake ya usajili kimyakimya kwa ajili ya msimu ujao, hiyo ni baada ya kujihakikishia mapema tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na kwa sasa kuongoza msimamo wa...
Minziro: Tuna dakika 360 ngumu KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Minziro amesema hatma ya timu hiyo ipo mikononi mwa mechi nne ambazo ni sawa na dakika 360 za kufungia msimu ili kujihakikishia kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao na...
Rais Samia awaahidi Simba Sh30 milioni kila bao fainali CAFCC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametoa ahadi ya Sh30 milioni kwa nyota wa Simba kwenye kila bao litakalofungwa kwenye mechi ya fainali.
Kocha JKT ataka rekodi mpya Isamuhyo LICHA ya Simba kutinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya miaka 32 tangu ilipofanya hivyo kwa kucheza fainali ya Kombe la CAF 1993, lakini hilo wala halijamtisha Kocha Mkuu wa JKT...
PRIME Mechi nne za uamuzi mgumu Yanga YANGA inasikilizia mechi nne zilizobaki za Ligi Kuu Bara kufanya uamuzi mgumu ndani ya benchi lake la ufundi.
Kipagwile ana deni la dakika 270 WINGA wa Dodoma Jiji, Idd Kipagwile baada ya kutikisa nyavu mara sita na kutoa asisti nne Ligi Kuu Bara msimu huu, akihusika na mabao 10 kati ya 30 yaliyofungwa na timu hiyo, amesema bado ana...
Raheem: Kibu, Sillah... ni kazi kuwakaba Siyo maarufu sana, lakini ubora wake msimu huu umemfanya apate namba na zaidi ni kuzivutia klabu mbalimbali zinazotamani kuinasa saini yake.
Kocha afichua jambo KenGold BAADA ya KenGold kushuka Ligi Kuu ikiwa na mechi tatu mkononi, kocha Omary Kapilima ametaja mambo mawili yaliyowaangusha, huku akisisitiza wanajipanga kurudi msimu ujao.