Cunha, Sesko ngoma ngumu KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim hatakuwa na huduma za washambuliaji wake Matheus Cunha na Benjamin Sesko katika mechi ngumu ya Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace, Jumapili.
Saka amchumbia mrembo Tolami BUKAYO Saka amethibitisha kumchumbia mpenzi wake wa siku nyingi, mrembo Tolami Benson baada ya kuposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Atletico Madrid yaweka msuli mzito kwa Marc Guehi ATLETICO Madrid imeingia kwa nguvu kwenye vita ya kuwania saini ya beki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, kuelekea dirisha la usajili la Januari.
YAS, Korosho Marathoni kuwabeba wakulima MBIO za Korosho Marathoni 2025 zimefanyika wikiendi iliyopita, ikishuhudiwa Peter Gidoska na Cecilia Ginoka wakiibuka kidedea katika kilomita 21, huku kampuni ya Yas ikithibitisha kuendelea...
VUNJA MBAVU! Fahamu kuhusu mashindano ya kucheka KATIKA dunia ya sasa ambayo tatizo la changamoto za afya ya akili na msongo wa mawazo limezidi kupamba moto na moja kati ya mambo ambayo yanaonekana kupotea ni furaha kwa watu wengi.
Kasheshe la EPL kuendelea tena wikeindi hii NI wiki nyingine katika Ligi Kuu England. Baada ya mambo kuwa mabaya kwa Pep Guardiola na vijana wake wiki iliyopita, wanatarajia kubadilisha hali hiyo wikiendi hii na itakuwa nyumbani kuumana na...
Mashujaa yabanwa nyumbani, Johola azidi kufunika MAAFANDE wa Mashujaa ya Kigoma leo jioni ilishindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kubanwa mbavu nyumbani na Dodoma Jiji na kutoka suluhu, huku kipa wa timu hiyo, Erick...
Lampard anapata kile anachostahili KWENYE maktaba ya majina ya makocha ambao hawakuwa na mafanikio makubwa katika Ligi Kuu England lakini wana heshima hadi sasa, mmoja ni Sam Alladyce ‘Big Sam’.
Bayern Munich yataja bei ya Olise KIGOGO wa Bayern Munich Max Eberl, amesema timu yake itahitaji zaidi ya Euro 100 milioni ili kumuuza winga wao wa kimataifa wa Ufaransa, Michael Olise mwenye umri wa 23 ambaye Liverpool na...
Liverpool yashindwa kuamua kwa Samenyo, yabaki njia panda LIVERPOOL ipo kwenye wakati mgumu wa kufanya uamuzi kuhusu kuwasilisha ofa Bournemouth dirisha lijalo la majira ya baridi ya kiangazi kwa ajili ya Antoine Semenyo Januari, mwakani.