Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1656 results for Daudi Elibahati :

  1. Taoussi amkingia kifua kipa Azam FC

    KOCHA wa Azam, Rachid Taoussi amesema makosa yanayoendelea kufanywa na kipa wa kikosi hicho, Mohamed Mustafa ni ya kawaida kwa mtu yeyote, hivyo asingependa kumlaumu nyota huyo zaidi ya kumwambia...

  2. Hamdi arithi mikoba ya Aussems Singida BS

    MABOSI wa Singida Black Stars wamemalizana na Kocha Miloud Hamdi mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mbelgiji Patrick Aussems aliyeondoka Novemba 29,...

  3. Tiote ajiandaa kutua FOG

    KLABU ya Fountain Gate a.k. a FOG imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Mtibwa Sugar, Kassim Haruna ‘Tiote’ kwa mkataba wa mwaka mmoja, baada ya dili la nyota huyo kukwama mwanzoni mwa msimu...

    Tiote Pict
  4. Kufungiwa CS Sfaxien kwamfurahisha Fadlu, aonya Mastaa

    TAARIFA kwamba Sfaxien ya Tunisia imefungiwa kucheza ikiwa na mashabiki katika mechi mbili za mwisho za Kundi A ikiwa nyumbani ikiwamo ile dhidi ya Simba, imemfanya kocha wa Msimbazi, Fadlu David...

  5. Medo amrudisha Amza Kagera Sugar

    KLABU ya Kagera Sugar iko katika hatua za mwisho za kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa Cameroon, Moubarack Amza kutoka Namungo, ikiwa ni pendekezo la kocha wa timu hiyo...

  6. Rupia ajichomoa vita ya kiatu Ligi Kuu Bara

    MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Elvis Rupia amesema licha ya kuongoza katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao manane, lakini lengo lake ni kuhakikisha kikosi hicho...

    Rupia Pict
  7. Hatma ya KenGold iko hapa!

    KOCHA wa KenGold, Omary Kapilima amesema minne ijayo ya Ligi Kuu Bara ndiyo itakayotoa hatma ya kikosi hicho kama kitasalia msimu ujao au kitashuka daraja.

    KenGold Pict
  8. KAGERE: Mfalme mwenye rekodi tamu Bara

    KABLA ya mechi ya jana mchana kati ya Fountain Gate na Namungo, Meddie Kagere ‘MK 14’ a.k.a The Terminator’ hakuna bao lolote katika Ligi Kuu Bara, lakini hiyo haimfanyi mshambuliaji huyo mkongwe...

    Kagere Pict
  9. Mbeya Kwanza yaanza na watatu

    KATIKA kuhakikisha Mbeya Kwanza inafanya vizuri ili kutimiza malengo ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao, mabosi wa timu hiyo wameanza kuimarisha kikosi hicho kwenye dirisha hili dogo la usajili,...

    Mbeya Pict
  10. Madenge aachiwa msala Biashara Utd

    HALI imezidi kuwa mbaya zaidi kwa Biashara United ya mkoani Mara baada ya aliyekuwa kocha wa kikosi hicho, Mussa Rashid kuondoka kutokana na ukata unaoikabili, ikiwa ni siku chache baada ya...

    Biashara Pict
Previous

Page 30 of 166

Next