Barbara, Try Again wachora ramani... Sakho afunguka mazito
LAZIMA kieleweke, Simba ya mwaka huu haitaki kuacha chochote. Yaani baada ya kutwaa Kombe la Mapinduzi kule Zanzibar, Wekundu wa Msimbazi wanalitaka taji la tano mfululizo la Ligi Kuu Bara, Kombe...