Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9741 results for Mwandishi :

  1. Fenerbahce yamtema Jose Mourinho

    Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imemfuta kazi kocha mkuu Jose Mourinho. Klabu hiyo yenye maskani yake jijini Istanbul imetoa taarifa mapema leo Ijumaa inayothibitisha kuondoka kwa kocha huyo wa...

    MOURINHO Pict
  2. Kufukuzwa kazi kumempa Mourinho Sh337 bilioni

    KOCHA Mreno, Jose Mourinho yuko karibu kufikisha Pauni 100 (takriban Sh337 bilioni) kama malipo ya fidia ya kufukuzwa kazi tangu aanze maisha ya ukocha.

  3. Hebu sikieni kocha Amorim anachosema

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekiri kwamba hafahamu kama ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo, lakini mwenyewe amesisitiza hana mpango wa kung’atuka.

  4. Carra: Gyokeres? Benchi lingemhusu

    GWIJI wa Ligi Kuu England na beki wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher anaamini kocha wa Arsenal, Mikel Arteta angemweka benchi straika Viktor Gyokeres kwenye kipute cha leo Jumapili huko...

  5. Xavi Simons katua Spurs

    HATIMAYE, Xavi Simons amekamilisha uhamisho wake wa kutua kwenye Ligi Kuu England.

  6. Guehi kuleta shida Januari 2026

    BEKI wa kati wa Crystal Palace, Marc Guehi huenda akasababisha vita kali kwenye dirisha lijalo la usajili wa Januari baada ya vigogo kibao huko Ulaya kuhitaji huduma yake.

    GUEHI Pict
  7. Ilibaki kiduchu Gallagher atue Man United

    MANCHESTER United imekwama kwenye dakika za mwisho kabisa kunasa huduma ya kiungo Conor Gallagher wakati dirisha la usajili lilipofungwa Jumatatu.

    KIDUCHU Pict
  8. Dah! Maskini Andre Onana

    USIOMBEE kuchokwa. Hicho ndicho kinachomkuta kipa Andre Onana kwa sasa baada ya mashabiki wa Manchester United kuwataka mabosi wa timu hiyo kukubali haraka ofa ya kumpiga bei nyanda huyo wa...

    ONANA Pict
  9. Isak awekewa ulinzi mkali Liverpool

    HALI ya afya ya straika ghali zaidi kwenye Ligi Kuu England, Alexander Isak itafuatiliwa kwa karibu zaidi na klabu yake mpya ya Liverpool wakati atakapokuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya...

    ISAK Pict
  10. Diaz afunguka kutua Bayern

    STAA Luis Diaz amesema amezungumza na kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz kuhusu Bundesliga kabla ya kukubali dili la kujiunga na Bayern Munich

Previous

Page 278 of 975

Next