Aussems ajihami mapema KOCHA wa Singida Black Stars, Patrick Aussems, baada ya kuuona moto wa wapinzani wake wa mchezo ujao Tabora United, amejihami mapema kuomba mechi ya kirafiki kukipima kikosi chake.
Kocha afunguka sababu mbili kumtema Aziz KI WAKATI maswali yakiwa mengi kuhusu kukosekana kwa Stephane Aziz Ki katika timu ya Taifa ya Burkina Faso, Kocha wa kikosi hicho, Brama Traore ametaja sababu mbili za kutomuita.
PRIME Mpanzu apewa Waarabu Dar, Fadlu afunguka DESEMBA 15 mwaka huu ni siku inayosubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa Simba, kwani wanaweza kumshuhudia nyota wao mpya, Elie Mpanzu akianza kuitumikia rasmi timu hiyo baada ya...
AbalKassim apotezea ushindi wa TZ Prisons FOUNTAIN Gate juzi ilipoteza mechi ugenini mbele ya Tanzania Prisons iliyowanyoa mabao 3-2 kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya, lakini kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Abalkassim Suleiman...
Tshabalala: Bado niponipo sana tu KAMA ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
PRIME Kibu: Kwa Mpanzu patachimbika STAA wa Simba, Kibu Denis amefanya mahojiano maalum na Mwanaspoti Jijini Dar es Salaam na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo mwenendo wake pamoja na klabu yake msimu huu.
Vipigo mfululizo Kagera vyashtua kigogo, mastaa HALI ya Kagera Sugar sio nzuri, kwani juzi imepoteza mechi ya nne kati ya sita ilizocheza katika Ligi Kuu Bara ya msimu huu na jambo hilo limewashtua baadhi ya wachezaji na mtendaji mkuu wa klabu...
PRIME Gamondi amaliza utata kwa Baleke Baleke alisajiliwa na Yanga msimu huu akitokea Al Ittihad ya Libya alikocheza kwa miezi sita tu kwa mkopo kutoka TP Mazembe ya DR Congo, ambapo awali alikuwa akikipiga Simba, lakini tangu atue...
PRIME Gamondi arudi jikoni kwa Dube, Mzize YANGA ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara mbilimbili kulikoni? Ikizingatiwa kwamba timu...
Ligi Kuu Bara… Ngoja tuone inakuwaje Leo jioni inapigwa mechi moja tu ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Fountain Gate dhidi ya Kagera Sugar, lakini sasa ni kwamba kesho kipute cha ligi hiyo kinaendelea kwa michezo mitatu ikikutanisha...