Trent kuruhusiwa fasta Madrid BEKI wa kulia, Trent Alexander-Arnold anajiandaa kwenda kujiunga na Real Madrid akitokea Liverpool kwa ada isiyozidi Pauni 1 milioni ndani ya muda ili akakipige kwenye michuano ya Kombe la Dunia...
Arne Slot aanza kuwaza msimu mpya KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anaamini kikosi chake kitakuwa na faida kubwa kwenye mchakamchaka wa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu England msimu ujao kutokana na wapinzani kuwa na mechi za ziada...
Luis Enrique aikejeli kijanja EPL KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique amekejeli kauli ya kwamba Ligue 1 ni ligi ya ‘wakulima’ licha ya kuzichapa timu nne za Ligi Kuu England kwenye mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Kompyuta yaiondoa Arsenal kwa PSG BAADA ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi ya nusu fainali kwa bao 1-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Emirates dhidi ya PSG, Arsenal imetabiriwa kuwa na asilimia ndogo za kwenda...
Lehmann: Arteta atafutwa kazi GWIJI wa Arsenal, Jens Lehmann amesema kocha wa sasa wa timu hiyo Mikel Arteta atajiweka kwenye hatari ya kufutwa kazi endapo atashindwa kubeba taji la Ligi Kuu England msimu ujao.
Waziri Masauni ataka vipaji vitunzwe WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Yussuf Masauni amesema michezo ni fursa inayowawezesha vijana wengi ambao wameamua kuendeleza vipaji vyao kujiajiri, endapo...
Klopp atajwatajwa huko Real Madrid KIAPO cha Jurgen Klopp alichoweka ni kwamba atapumzika baada ya kuachana na Liverpool, lakini sasa kumekuwa na tetesi nyingi zikimhusisha na mpango wa kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa Real Madrid.
Keane awashangaa mastaa Man United GWIJI wa Manchester United, Roy Keane amesema timu hiyo inatia aibu kwa rekodi za Ligi Kuu England msimu huu na kusema anaelewa sasa kwanini kocha Ruben Amorim alihitaji kujiunga na timu hiyo...
Bruno Fernandes yupo tayari kuuzwa NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema yupo tayari kuondoka endapo kama mabosi wa klabu hiyo wataamua kumpiga bei kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Ancelotti akabidhiwa mikoba Brazil HATIMAYE, Carlo Ancelotti amethibitishwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya soka ya Brazil.