Mserbia apewa masharti KenGold KenGold imefikia makubaliano ya kumpa mkataba wa miezi sita kocha mpya raia wa Serbia, Vladislav Heric iliyomtambulisha jana Jumamosi, huku akipewa masharti ya kuhakikisha kikosi hicho chenye...
Kalambo aja kivingine Bara BAADA ya kipa Aaron Kalambo kukamilisha uhamisho wa kujiunga na Coastal Union, nyota huyo ameweka wazi mojawapo ya malengo yake kipindi hiki cha miezi sita iliyobakia kumaliza msimu, ni kurejesha...
Ingia toka dirisha dogo la usajili Bara DIRISHA dogo la usajili Ligi Kuu Bara na michuano mingine ya ndani limefungwa juzi Januari 15 na tumeshuhudia klabu mbalimbali zikivuta silaha mpya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi...
Tanzania ishindwe yenyewe tu CHAN 2025 DROO ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024, itakayofanyia Agosti mwaka huu, imefanyika juzi huku Tanzania ikiangukia kundi 'B' na timu za Mauritania, Madagascar...
Azam FC yachomoa watano kikosini WAKATI dirisha dogo la usajili likifungwa usiku wa jana, timu ya Azam imeondoa nyota watano ndani ya kikosi hicho, huku watatu wakitolewa kwa mkopo na wawili wakipewa mkono wa kwaheri.
PRIME Siri imefichuka, mabao Simba yana kitu KIKOSI cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Bravos do Maquis ya Angola, huku kikiweka rekodi ya kipekee ambayo...
Cheche amrithi Kijuso Cosmopolitan MABINGWA wa zamani wa soka nchini, Cosmopolitan imefikia uamuzi wa kumpa mkataba wa miezi sita aliyekuwa kocha wa Azam FC, Idd Nassor ‘Cheche’, ikiwa ni wiki moja tu tangu wamtimue Mohamed Kijuso...
Mtambuka aamsha morali Songea United KLABU ya Songea United ya mkoani Ruvuma imekamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa TMA ya jijini Arusha, Abiud Mtambuka kwa mkataba wa miezi sita, huku kocha wa kikosi hicho, Meja Mstaafu,...
Zubery Katwila avuta mashine tatu Bigman KOCHA wa Bigman FC, Zubery Katwila ameanza kukisuka kikosi hicho baada ya kuzinasa saini za aliyekuwa beki wa kulia wa African Sports, Halfan Mbaruku, kiungo, Abubakar Hamis na mshambuliaji...
Yanga yaiua Al Hilal, matumaini yabakia Kwa Mkapa CAFCL Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga imefufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya usiku huu kushinda bao 1-0, dhidi ya Al Hilal, katika mchezo...